Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Azam wametwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuwafunga URA ya Uganda kwa bao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ys penati.
Mpira umemalixika saa 4: 45 usiku huu.
Viva AzamWadau
Azam wametwaa Kombe la Mapinduzi baada ya kuwafunga URA ya Uganda kwa bao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penati.
Mpira umemalizika saa 4: 45 usiku huu.
Mgeni rasmi katika mchezo huo alikuwa Rais wa Zanzibar Dkt Ally Mohameid Shein.
Ntarahamwe una shida weweHivi ukiambiwa kabisa utaje Kombe la Kimashindano kabisa na lenye ' Tija ' kwa nchi na Maendeleo ya Soka utalitaja kweli Kombe la Mapinduzi?
brother vip mbona povu wakati hii ni taarifa tuHivi ukiambiwa kabisa utaje Kombe la Kimashindano kabisa na lenye ' Tija ' kwa nchi na Maendeleo ya Soka utalitaja kweli Kombe la Mapinduzi?
Huwezi kulitaja kombe la Mapinduzi.Hivi ukiambiwa kabisa utaje Kombe la Kimashindano kabisa na lenye ' Tija ' kwa nchi na Maendeleo ya Soka utalitaja kweli Kombe la Mapinduzi?
Asante kwa taarifaWadau
Azam wametwaa Kombe la Mapinduzi baada ya kuwafunga URA ya Uganda kwa bao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penati.
Mpira umemalizika saa 4: 45 usiku huu.
Mgeni rasmi katika mchezo huo alikuwa Rais wa Zanzibar Dkt Ally Mohameid Shein.
brother vip mbona povu wakati hii ni taarifa tu
Huwezi kulitaja kombe la Mapinduzi.
Nashangaa kwanini timu yenu pendwa Simba ilipeleka timu kwenda kuaibishwa kwa vichapo.
Nimekupata mdau.Simba SC hatukuenda kushindana bali tulienda kujaribu Wachezaji wetu wa Kikosi B na pia kutafuta tu ' fitness ' ili tukirudi bara kuendelea na Ligi yetu ya Vodacom kama kawaida tuzidi kutoa ' Vichapo ' tu na tuwaache hao Azam FC na ' Washamba ' wasiojua mpira kabisa duniani kote Yanga FC.
Bingwa anapata mil 10 wakat vpl bingwa anapata zaidi ya mil 80Hivi ukiambiwa kabisa utaje Kombe la Kimashindano kabisa na lenye ' Tija ' kwa nchi na Maendeleo ya Soka utalitaja kweli Kombe la Mapinduzi?