Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Azam FC ya Tanzania wametwaa Kombe la Mapinduzi baada ya kuwafunga URA ya Uganda kwa bao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa Aman Zanzibar. Mpira umemalizika saa 4: 45 usiku huu.
Timu za Simba na Yanga zilishindwa kufurukuta baada ya kutolewa mapema katika mashindano hayo.
Mgeni rasmi katika mchezo huo alikuwa Rais wa Zanzibar Dkt Ally Mohameid Shein.