Nawe unda yako halafu utuletee sifa zake [emoji40]Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.
Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia
Madalali na wahuni wa Ticket pale Malindi wa Azam wamewafanyia uhuni sana wasafiri kwa muda mrefu. Sasa kapata ushindani nadhani huduma zitakuwa nzuri wakati huu.Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.
Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Umesafiri Lini?? Zanzibar One imeanza toka Januari 2020.Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Nadhani lilikuwa ni Dili la wahudumu na wale vishoka maana kila unapoenda kukata ticketi unaambiwa zimeisha za muda huo lakini nje kwa wahuni zipo kwa bei ya karibu mara mbili. Unapokuwa na dharura inabidi tu ununue tiketi huku unaugulia machungu.Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.
Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Ushundani unaleta ufanisi. Ni jambo jema Zanzibar one kuongeza huduma. 25k kwa safari ya zanzibar to Dar ni pesa nyingi bado.Mkuu naona kama unamchongea Zanzibar 1. Usikute tunaifanyia subbotage kama ile. Sisi hatupendi ushindani ndo maana tunashusha bei zetu mpaka itafika 5,000. Kamuulize yule.
Unabisha nini mkuu?Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Ma-ustaadhi wakishaona tu umemtaja Bakhresa hua wanakuja fasta tu kumtetea,kama vile wana ubia nae.Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.
Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Ushundani unaleta ufanisi. Ni jambo jema Zanzibar one kuongeza huduma. 25k kwa safari ya zanzibar to Dar ni pesa nyingi bado.
Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.
Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).Nadhani lilikuwa ni Dili la wahudumu na wale vishoka maana kila unapoenda kukata ticketi unaambiwa zimeisha za muda huo lakini nje kwa wahuni zipo kwa bei ya karibu mara mbili. Unapokuwa na dharura inabidi tu ununue tiketi huku unaugulia machungu.
Kwa hiyo sales person wa Azam ni madalali wa wahuni?? Kwa nini wanaruhus hali hiyo inayoweza kuathiri biashara zao kama hawana maslahi nayo??Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).
Hata kule kwny kiwanda chao cha juice ukipeleka maembe yako kwny roli na humjui dalali yataozea hapo nje ya geti ukiyaona hivi hivi.
Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.