Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

lutemi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
1,748
Reaction score
1,388
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.

Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.

E9EEA7A2-3364-4B39-AC0B-2FC9F284AE8E.jpeg

lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
 
Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.

Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Nawe unda yako halafu utuletee sifa zake [emoji40]

Odhis *
 
usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma ya Zanzibar 1
1586857958102.png
 
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.

Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
 
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia

Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
 
Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.

Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Madalali na wahuni wa Ticket pale Malindi wa Azam wamewafanyia uhuni sana wasafiri kwa muda mrefu. Sasa kapata ushindani nadhani huduma zitakuwa nzuri wakati huu.

Tuipongeze Serikali ya awamu ya tano.😀😀
 
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.

Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Nadhani lilikuwa ni Dili la wahudumu na wale vishoka maana kila unapoenda kukata ticketi unaambiwa zimeisha za muda huo lakini nje kwa wahuni zipo kwa bei ya karibu mara mbili. Unapokuwa na dharura inabidi tu ununue tiketi huku unaugulia machungu.
 
Mkuu naona kama unamchongea Zanzibar 1. Usikute tunaifanyia subbotage kama ile. Sisi hatupendi ushindani ndo maana tunashusha bei zetu mpaka itafika 5,000. Kamuulize yule.
Ushundani unaleta ufanisi. Ni jambo jema Zanzibar one kuongeza huduma. 25k kwa safari ya zanzibar to Dar ni pesa nyingi bado.
 
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.

Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Ma-ustaadhi wakishaona tu umemtaja Bakhresa hua wanakuja fasta tu kumtetea,kama vile wana ubia nae.
 
Zanzibar one bei gani economy
Nasikia Azam sasahivi hali mbaya
Economy ni 20000 badala ya 25000
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar one hii ni noma inakimbia hatari one hour ZANZIBAR to DaresSalaam alafu chombo kimetulia sana.

Alafu mbaya zaidi zanzibar one inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani lilikuwa ni Dili la wahudumu na wale vishoka maana kila unapoenda kukata ticketi unaambiwa zimeisha za muda huo lakini nje kwa wahuni zipo kwa bei ya karibu mara mbili. Unapokuwa na dharura inabidi tu ununue tiketi huku unaugulia machungu.
Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).

Hata kule kwny kiwanda chao cha juice ukipeleka maembe yako kwny roli na humjui dalali yataozea hapo nje ya geti ukiyaona hivi hivi.
 
Kwa hiyo sales person wa Azam ni madalali wa wahuni?? Kwa nini wanaruhus hali hiyo inayoweza kuathiri biashara zao kama hawana maslahi nayo??
 
Back
Top Bottom