Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma ya Zanzibar 1
View attachment 1418802
unawasifia azam marine huku unaweka chombo ya masaa ya mbele ya zacharia
 
kwa sasa zanzibar one kajenga gati yake halafu full mbwembwe yani huwa anaingia kinyumenyume kupaki
 
kwa sasa zanzibar one kajenga gati yake halafu full mbwembwe yani huwa anaingia kinyumenyume kupaki
hiyo gari ina mawe kishenzi.
Juzi ilikuwa inajigonga yenyewe. Anyway acha wakompiti labda inaweza kuwa fanya wawe more creative waweze kuja na offers mbalimbali
 
kwa sasa zanzibar one kajenga gati yake halafu full mbwembwe yani huwa anaingia kinyumenyume kupaki
hiyo gari ina mawe kishenzi.
Juzi ilikuwa inajigonga yenyewe. Anyway acha wakompiti labda inaweza kuwa fanya wawe more creative waweze kuja na offers mbalimbali
 
hiyo gari ina mawe kishenzi.
Juzi ilikuwa inajigonga yenyewe. Anyway acha wakompiti labda inaweza kuwa fanya wawe more creative waweze kuja na offers mbalimbali
mashabiki wa azam utawajua tu....ivi we unaweza kwenda kujenga gati sehemu yenye mawe????
 
Mkuu hivi jamaa wa azam hawakupi offer yoyote so far?? Maana umekuwa ukisafiri nao for so long, week in week out

Sina offer officially ila ule ukaribu nao sikosi ticketi hata boat ijae vipi. Naweza kukaa daraja lolote kuna wakati wananipeleka kule bridge sijui wanapokaa makapten tunapiga misosi huku wakinipa darasa la jinsi zinavyofanya kazi.

Kuna kipindi walikua wanatoa kadi kwa frequent teavellers, nilikua nayo na kadri point zinavyoongezeka unapata ticket za bure. Haikuendelea tena.
 
mashabiki wa azam utawajua tu....ivi we unaweza kwenda kujenga gati sehemu yenye mawe????

Hajui hata hapo zinaposhusha na kupakia abiria Azam ni eneo la mamlaka ya bandari sema yeye ameboresha tu. Ndio maana hawezi kuwazuia Flying horse au Zanzibar 1 kushusha au kupakia abiria pale.
 

Itakua ulichanganya mkuu. Hakujatokea kitu kama hicho, huenda hiyo boat nyingine iliwasili kutoka Unguja au ilitokea pale wanapopark zinaposhusha sealink 1, 2 na ile ya Comoro.

Jumatano tumeondoka na 7 huku Zanzibar 1 akiwa nyuma yetu, kukaribia Chumbe alitupita ila tukashuka wote bandarini.

Zile Zanzibar 1 na 2 zinaenda hadi 37 knots wakati Azam K7 inaenda hadi 33 knots kama sikosei. Hivyo Zanzibar 1 akiikandamiza kabisa kwa mwendo atamuacha tu Azam.

Anazo mbili kwa sasa, ila Azam mkongwe kwenye hii tasnia atakuja na kitu cha kwenda mwendo wa hatari.

Pia hizi boat za Turkey na Zacharia wanazipumzisha. Kuna wakati upande mmoja unakua hauna boat, inaweza kupiga safari moja asubuhi, ikapumzika hadi saa kumi.

Bakhresa anaweza kuuza K5 na K6 alete toleo jipya, zile haziwezi kupambana na Zanzibar one hata siku moja, injini zake za propeller. K4 na K7 ndio jet kama Zanzibar 1 na 2.

Huu ushindani sio nafuu kwa abiria tu, hata wafanyakazi wanakua na kuchagua kitu kitakachoboresha maslahi yao pia. Jamaa kakomba wafanyakazi wa Azam wengi sana.
 
safi, biashara ni ushindani... bila ushindani aliyepo anakua na majigambo, jeuri sana.
 
sio juzi kama unavyofikiria nadhani ni wiki iliyopita ziliondoka na kurudi zote
 
sio juzi kama unavyofikiria nadhani ni wiki iliyopita ziliondoka na kurudi zote

Na mimi nilivyosema juzi sikumaanisha juzi. Lakininpamoja na hayo, nafikiri unaelewa kwamba ili biat iondoke kama ilivyo kea ndege lazima apewe ruhusa na watu wa control tower ambao nao wanakua wameshawasiliana na watu wa mamlaka ya hali ya hewa. Na boat haziwezi kuondoka zote kwa pamoja au kuingia zote zikiwa kwenye eneo lenye maboya.

Anyway huenda kulikua na tatizo lingine anbalo halijawekwa wazi na hilo tukio la boat kuondoka halikutolewa taarifa.
 
yaaah hii ishu ilikua ni wiki iliyopita
 
Mkuu anaweza akafunga hiyo system ya Humphree ambayo inafanya kazi kubwa ya kubalance vessel stability kwenye hali yoyote.
 
Mkuu anaweza akafunga hiyo system ya Humphree ambayo inafanya kazi kubwa ya kubalance vessel stability kwenye hali yoyote.

Azam wao technolojia ya stabilizer ni kama inasaidia kwa mawimbi lakini makelele ya injini mnayasikia ndani. Bora ukiwa Royal au VIP class kidogo zinapungua. Huo ndio utulivu nnaouongelea.

Kingine, sijajua ni aina yamuundo au kitu gani lakini Zanzibar one ikikimbia sana inanyanyuka zaidi kule mbele hadi unaziona zile ncha za boat zinazotakiwa kuwa kwenye maji. Sijawahi kuona Kilimanjaro hizo sehem kuwa juu ya maji.
 
Mkuu sijaelewa unaposema abiria kujirusha majini ebu fafanua kidogo mkuu
 
Azam yeye boti yake haina hiyo Humphree system kwa ajili ya stability ni Zanzibar 1 pekee ndio ina hiyo teknolojia kwa hizo boti.

Azam K7 inatumia engine za Cummins hizi engine zina kelele sana ukilinganisha na Zanzibar 1 ambayo inatumia MTU engine.

Cummins engine zinapewa sana promo kwakuwa ni mmarekani na ni za kawaida sana, tena akikimbia mpaka knot 33 ndani ya lisaa atalazimika kutumia mafuta mengi sana.

Na kwenye speed Zanzibar 1 kama kweli ikiwekwa Full Head hiyo K7 haimpati ingawa KW(HP) kubwa kuliko Zanzibar 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…