Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Mbona huwa tunaambiwa Juice yake ni fake na sio Embe halisi?
Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).

Hata kule kwny kiwanda chao cha juice ukipeleka maembe yako kwny roli na humjui dalali yataozea hapo nje ya geti ukiyaona hivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja...kuingiza gari la maembe pale kiwandani kama hauna dalali ni sawa na kuona pepo. Huyu mzee Bakharesa ni muumini safi sana je uonevu huu na dhuluma hii haioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wanasema tajiri kuingia kwny ufalme wa Mungu ni ngumu kama Ngamia kupita kwny tundu la Sindano.

Jamaa anajua kila kitu mkuu,ila ndo hivyo tena wanafaidika na uhuni huo mkuu.
 
Shukrani, jamaa ni wazoefu.
Sea star namkumbuka alikuwa na boti zake sea star 1 na sea sea star 2 zilikuwa ziko vizuri hydrofoil (kama ilivyokuwa sea express)

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Mkuu kuna faida zipi za propeller kwa wasafiri ?
Hahahahahahahaha.

Unatetea bure tu mkuu, kimavi kimemuingilia azam kwenye hii biashara. Unasema anabahatisha?? Sio kubahatisha mkuu ni technology. Yaani waswahili bhana, technology wanasema kumuachia awapite?? Ngoja nkupe shule mkuu.

Kilimanjaro 4 & 7 engine zake ni Jet sio propeller. Kilimanjaro 5 & 6 ni propeller. Unajua tofauti za boti zikiwa jet na propeller??

Zanzibar 1 & 2 zote ni jets na maximum knots zake ni 40 zote mbili wakati kilimanjaro 4 & 7 hazijafika knots 40 kwahiyo hapo azam atapigwa bao kila kukicha na wala sio suala la kumuachia. Haahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.

Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.

View attachment 1418732

lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
unapo zungumzia azam marine na hiyo zanzibar one tupe tofauti kwa muonekano azam marine ni kubwa sana au zinafanana hizo kitu tuambie tofauti ya abiria mizigo nk.
 
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.

Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.

View attachment 1418732

lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Economy Class

Business Class

VIP Class

Royal Class
 
Attachments

  • 054-upper-aft-deck21.jpg
    054-upper-aft-deck21.jpg
    32 KB · Views: 2
  • UVgNTgKA.jpeg
    UVgNTgKA.jpeg
    195.5 KB · Views: 2
  • Vip-seat.jpg
    Vip-seat.jpg
    66.2 KB · Views: 2
  • MC2qCtkQ-2.jpeg
    MC2qCtkQ-2.jpeg
    198 KB · Views: 2
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.

Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.

View attachment 1418732

lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
huu ushandani ulikuwepo ata miaka hiyo dar to arusha SHABAHA alikuja na moto akakimbia kawaacha wakongwe kaja MAPANDE kasepa kaja BUFFALO kapotea Akaja chizi CHAKITO CHATER LONG WAY kimya wazee wapo kwa hiyo usishindane na mfanya biashara wa muda mrefu utapoteza pesa kwakutaka sifa
 
Naskia kuna ambayo bei yake 20000 mpaka sasa hivi ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Suali lako nakujbu leo bei ni hiyo hiyo 25 kwa economy na Economy premium ni kilimanjaro seven safar inaanza saa sita na nusu labda sealink ndo elf20 ambayo bei yake ndio hiyo hiyo toka mwnzo na leo naona mambo yamebdlika juzi nilpopanda haikua hivi leo kuna kuvalishwa mask kwa kila abiria anaeingia bandarin na mwisho kabsa Kuna dawa ile ya kupiliza kwa wote mnapopita mnainua mikono juu kama ile waloitangaza kenya [emoji1139] hivi juzi kati kwenye sehem za kupita watu wengi kama ferry

Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sea star namkumbuka alikuwa na boti zake sea star 1 na sea sea star 2 zilikuwa ziko vizuri hydrofoil (kama ilivyokuwa sea express)

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
mwenye hizo seastar ndio huyo huyo anayemiliki zanzibar one sasa iv
 
Kutaka ushindani wa Biashara na Azam ni kujitafutia kufa kwa biashara yako..

Azam sasahivi kwisha habari yake. Huyu muhindi amekuja kummliza.
Boat zikichoka anazipeleka comoro
Nyingine anezipeleka pemba na tanga
Sasa anampelekesha Azam
 
Hii ilkua juzi ijumaa nilkua kwenye Azam Kilimanjaro 7 ni kweli Zanzibar one unakimbia Azam usifananishe na boat zozote nyengne nafkir zinafanana kwa Speed knots ni vile Zanzibar one anaforce kufka mwnzo ila Azam anajiamin na ameridhka na mda ambao anafka Azam anatembea hadi 35 knots hasa hasa kilimanjaro 4 na kilimanjaro 7 ndo zina speed sana na zinawah klko nyengne mm ni mzoefu wa Azam kila mwez natumia rout hazpungui nne kilimanjaro 7 na 4 zinatumia dakika 70 kufka na anatembea kwa kujiamin bila kuforce kuwah hata juzi tulishuka dar saa 17:15 na Hizo picha unaona nilichkua video sema siwez kuiupload Zanzibar one alimkatishia Azam mbele hapo kwa kuona anawah kufka kwenye maboya akaharakia kwa speed zote ikabdi kilimanjaro 7 apunguze speed kumwachia aingie hata hivyo sisi wa kilimanjaro tulishuka mwnzo tukamuacha Zanzibar one anahangaika kupark sasa kuna maana gan mbil nyingiiiiiii ila unachelewa kuapark na kuchelewa kushusha wakat Azam akiingia tu ashaandaa milango na wahudumu wapo tayar kushusha maboya unashuka within 3 minutes akishafka na pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu) pia boat za Azam ni mpya kabsa zinatengenezwa kutoka kiwandan Australia na akiona imechoka anauza km sea bus one na two na kilimanjaro three kwa mm cjaona tofaut ya hizi boat mbili na kwa usalama wngu akili yngu inaniambia kilimanjaro ni salama zaidi Coz anatembea kwa kujiamin si kwa kijilazmisha inaweza kuharbu chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezungumzia kasi na parking,umeacha huduma mbovu za madalali wahuni kwa kuuza tiketi kwa bei chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom