Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Ilihujumiwa, ikiwa kwenye maegesho nje ya bandari iliwaka moto.Ilifanywa nini hiyo tena hiyo?
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilihujumiwa, ikiwa kwenye maegesho nje ya bandari iliwaka moto.Ilifanywa nini hiyo tena hiyo?
Hahahahahahahaha.Hii ilkua juzi ijumaa nilkua kwenye Azam Kilimanjaro 7 ni kweli Zanzibar one unakimbia Azam usifananishe na boat zozote nyengne nafkir zinafanana kwa Speed knots ni vile Zanzibar one anaforce kufka mwnzo ila Azam anajiamin na ameridhka na mda ambao anafka Azam anatembea hadi 35 knots hasa hasa kilimanjaro 4 na kilimanjaro 7 ndo zina speed sana na zinawah klko nyengne mm ni mzoefu wa Azam kila mwez natumia rout hazpungui nne kilimanjaro 7 na 4 zinatumia dakika 70 kufka na anatembea kwa kujiamin bila kuforce kuwah hata juzi tulishuka dar saa 17:15 na Hizo picha unaona nilichkua video sema siwez kuiupload Zanzibar one alimkatishia Azam mbele hapo kwa kuona anawah kufka kwenye maboya akaharakia kwa speed zote ikabdi kilimanjaro 7 apunguze speed kumwachia aingie hata hivyo sisi wa kilimanjaro tulishuka mwnzo tukamuacha Zanzibar one anahangaika kupark sasa kuna maana gan mbil nyingiiiiiii ila unachelewa kuapark na kuchelewa kushusha wakat Azam akiingia tu ashaandaa milango na wahudumu wapo tayar kushusha maboya unashuka within 3 minutes akishafka na pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu) pia boat za Azam ni mpya kabsa zinatengenezwa kutoka kiwandan Australia na akiona imechoka anauza km sea bus one na two na kilimanjaro three kwa mm cjaona tofaut ya hizi boat mbili na kwa usalama wngu akili yngu inaniambia kilimanjaro ni salama zaidi Coz anatembea kwa kujiamin si kwa kijilazmisha inaweza kuharbu chombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Royal alikuja kama game changer lakini mwisho wa siku ikiwa nje ya bandari imepaki ikaungua. Wanao dominate biashara ya usafiri wa majini huwa hawawapendi hawa game changer.nipe habari yake mkuu..
Royal alikuja kama game changer lakini mwisho wa siku ikiwa nje ya bandari epaki ikaungua. Wanao dominate biashara ya usafiri wa majini huwa hawawapendi hawa game changer.
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
I'm not sure chief.Nasikia jamaa alishawahi kuwepo kwenye hii ligi, akaondoa boti kupeleka Comoro.
Naona kajipanga upya na kurudi.
Daaa......alimwokoaje kamanda mkuuHuyu jamaa alimwokoa Tundu lissu . Ni mbunge wa Jang’ombe huko Zanzibar
Mkuu nilikuwa naulizia bei ya boti. Ila nashukuru nimejua nauli.Zanzibar one kuna 25K, 40K, 50K, 300K silver, gold na nyenginezo class
Azam marine kuna 25K, 35K, 50K, 60K
Class tofaut tofaut economy class, economy premium, business class, VIP class, Royal class and Private cabin
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuwa naulizia bei ya boti. Ila nashukuru nimejua nauli.
Hahahahahahahaha.
Unatetea bure tu mkuu, kimavi kimemuingilia azam kwenye hii biashara. Unasema anabahatisha?? Sio kubahatisha mkuu ni technology. Yaani waswahili bhana, technology wanasema kumuachia awapite?? Ngoja nkupe shule mkuu.
Kilimanjaro 4 & 7 engine zake ni Jet sio propeller. Kilimanjaro 5 & 6 ni propeller. Unajua tofauti za boti zikiwa jet na propeller??
Zanzibar 1 & 2 zote ni jets na maximum knots zake ni 40 zote mbili wakati kilimanjaro 4 & 7 hazijafika knots 40 kwahiyo hapo azam atapigwa bao kila kukicha na wala sio suala la kumuachia. Haahahahahah
I'm not sure chief.
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Ok, kumbe alianzia akiwa Sea star, maana sea star naifahamu ila sikuwa na uhakika/uelewa jinsi walivyochange na kuwa Zanzibar one. Ahsante.Zanzibar one alikuwepo zamani akijulikana kama Sea Star. Walikua na boat ya kijani. Tatizo walikua hawaleti boat mpya, walikua wanaleta chakavu, hata Royal nae alifanya kosa lile lile kuleta chakavu na akainunua Mega Speed almaarufu sepide) bahati mbaya haikuwahi kufanya kazi baada ya ukarabati uliowagharimu pesa nyingi.
View attachment 1419456
Na hapa nipo kwa Kilimanjaro 7 pembeni Zanzibar 1 tunaondoka wote saa moja kamili.
Utupe UPDATE ya ligi leo
K vant
Ok, kumbe alianzia akiwa Sea star, maana sea star naifahamu ila sikuwa na uhakika/uelewa jinsi walivyochange na kuwa Zanzibar one. Ahsante.
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Sawa aminata.Usilete udini wako na ubaguzi mada haihusiani na propaganda zako
Sent from Tapatalk
Mfanyakazi wa Co. huyo yuko anatetea kitumbua hapo.Mkuu sisi tunasafiri kila siku.Ticket mtandaoni zipo madirishani hakuna kaz yao kulangua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app