Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Hii ilkua juzi ijumaa nilkua kwenye Azam Kilimanjaro 7 ni kweli Zanzibar one unakimbia Azam usifananishe na boat zozote nyengne nafkir zinafanana kwa Speed knots ni vile Zanzibar one anaforce kufka mwnzo ila Azam anajiamin na ameridhka na mda ambao anafka Azam anatembea hadi 35 knots hasa hasa kilimanjaro 4 na kilimanjaro 7 ndo zina speed sana na zinawah klko nyengne mm ni mzoefu wa Azam kila mwez natumia rout hazpungui nne kilimanjaro 7 na 4 zinatumia dakika 70 kufka na anatembea kwa kujiamin bila kuforce kuwah hata juzi tulishuka dar saa 17:15 na Hizo picha unaona nilichkua video sema siwez kuiupload Zanzibar one alimkatishia Azam mbele hapo kwa kuona anawah kufka kwenye maboya akaharakia kwa speed zote ikabdi kilimanjaro 7 apunguze speed kumwachia aingie hata hivyo sisi wa kilimanjaro tulishuka mwnzo tukamuacha Zanzibar one anahangaika kupark sasa kuna maana gan mbil nyingiiiiiii ila unachelewa kuapark na kuchelewa kushusha wakat Azam akiingia tu ashaandaa milango na wahudumu wapo tayar kushusha maboya unashuka within 3 minutes akishafka na pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu) pia boat za Azam ni mpya kabsa zinatengenezwa kutoka kiwandan Australia na akiona imechoka anauza km sea bus one na two na kilimanjaro three kwa mm cjaona tofaut ya hizi boat mbili na kwa usalama wngu akili yngu inaniambia kilimanjaro ni salama zaidi Coz anatembea kwa kujiamin si kwa kijilazmisha inaweza kuharbu chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaha.

Unatetea bure tu mkuu, kimavi kimemuingilia azam kwenye hii biashara. Unasema anabahatisha?? Sio kubahatisha mkuu ni technology. Yaani waswahili bhana, technology wanasema kumuachia awapite?? Ngoja nkupe shule mkuu.

Kilimanjaro 4 & 7 engine zake ni Jet sio propeller. Kilimanjaro 5 & 6 ni propeller. Unajua tofauti za boti zikiwa jet na propeller??

Zanzibar 1 & 2 zote ni jets na maximum knots zake ni 40 zote mbili wakati kilimanjaro 4 & 7 hazijafika knots 40 kwahiyo hapo azam atapigwa bao kila kukicha na wala sio suala la kumuachia. Haahahahahah
 
nipe habari yake mkuu..
Royal alikuja kama game changer lakini mwisho wa siku ikiwa nje ya bandari imepaki ikaungua. Wanao dominate biashara ya usafiri wa majini huwa hawawapendi hawa game changer.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Royal alikuja kama game changer lakini mwisho wa siku ikiwa nje ya bandari epaki ikaungua. Wanao dominate biashara ya usafiri wa majini huwa hawawapendi hawa game changer.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Nasikia jamaa alishawahi kuwepo kwenye hii ligi, akaondoa boti kupeleka Comoro.

Naona kajipanga upya na kurudi.
 
Nasikia jamaa alishawahi kuwepo kwenye hii ligi, akaondoa boti kupeleka Comoro.

Naona kajipanga upya na kurudi.
I'm not sure chief.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Hahahahahahahaha.

Unatetea bure tu mkuu, kimavi kimemuingilia azam kwenye hii biashara. Unasema anabahatisha?? Sio kubahatisha mkuu ni technology. Yaani waswahili bhana, technology wanasema kumuachia awapite?? Ngoja nkupe shule mkuu.

Kilimanjaro 4 & 7 engine zake ni Jet sio propeller. Kilimanjaro 5 & 6 ni propeller. Unajua tofauti za boti zikiwa jet na propeller??

Zanzibar 1 & 2 zote ni jets na maximum knots zake ni 40 zote mbili wakati kilimanjaro 4 & 7 hazijafika knots 40 kwahiyo hapo azam atapigwa bao kila kukicha na wala sio suala la kumuachia. Haahahahahah

Nakupa mda tumsubiri huu mwaka uishe tuone mwisho wake mana hii sio boat ya kwanza kumchallenge Azam sio Pemba sio Tanga sio Dar cjui walipotelea wapi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli tupu ukienda pale ofsin tikiti zimeisha alaf kuna watu wanauza nje au wanakuambia zipo vip tu hii hali inatia ukakasi sana.wakati nafasi za kusimama zipo wengi huwa juu kule hawakai huwa wanaangalia maji yalivyo.
 
I'm not sure chief.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Zanzibar one alikuwepo zamani akijulikana kama Sea Star. Walikua na boat ya kijani. Tatizo walikua hawaleti boat mpya, walikua wanaleta chakavu, hata Royal nae alifanya kosa lile lile kuleta chakavu na akainunua Mega Speed almaarufu sepide) bahati mbaya haikuwahi kufanya kazi baada ya ukarabati uliowagharimu pesa nyingi.
 
IMG_20200415_070140_428.jpg

Na hapa nipo kwa Kilimanjaro 7 pembeni Zanzibar 1 tunaondoka wote saa moja kamili.
 
Zanzibar one alikuwepo zamani akijulikana kama Sea Star. Walikua na boat ya kijani. Tatizo walikua hawaleti boat mpya, walikua wanaleta chakavu, hata Royal nae alifanya kosa lile lile kuleta chakavu na akainunua Mega Speed almaarufu sepide) bahati mbaya haikuwahi kufanya kazi baada ya ukarabati uliowagharimu pesa nyingi.
Ok, kumbe alianzia akiwa Sea star, maana sea star naifahamu ila sikuwa na uhakika/uelewa jinsi walivyochange na kuwa Zanzibar one. Ahsante.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Utupe UPDATE ya ligi leo

K vant

Tumeondoka wa kwanza kama dakika nne Zanzibar 1 nae katufuata kwa nyuma. Hapa tupo Chumbe na Zanzibar 1 atatangulia kuingia kwenye maboya.

Za kutoka Zanzibar , Kilimanjaro 4 kaachwa jamaa wako mbele. Kwa ufupi kwenye suala zima la mwendo Zanzibar one wako safi.
 
Ok, kumbe alianzia akiwa Sea star, maana sea star naifahamu ila sikuwa na uhakika/uelewa jinsi walivyochange na kuwa Zanzibar one. Ahsante.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Shukrani, jamaa ni wazoefu.
 
Back
Top Bottom