Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Mkuu sisi tunasafiri kila siku.Ticket mtandaoni zipo madirishani hakuna kaz yao kulangua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sisi tunasafiri kila siku.Ticket mtandaoni zipo madirishani hakuna kaz yao kulangua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app



Mm cjawah kupata ticket mtandaon na dirishan nikakosa ukiona haipo mtandaon bac dirishan haipo na hupew mana system haisomi cha kufnya ukiona mtandaon ipo unaikata then unawapa booking number na password mbona wanakupa ticket yako ukiwalipa shida ni watu hawajui taratbu za biahsara za watu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa siku nikienda kumuona mwanangu nitapanda hyo.
Inshaallaah

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
mimi nmesafiri last time na kilimanjaro VII tulitumia 1:10 minutes....ukiritimba upo lakini huduma za azam huwezi fananisha na mtoa huduma yeyote kwa route hiyo..
Unaifahamu Royal iliyounguzwa moto?

ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ "ᴷⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ"
 
Issue siyo nani ni mbabe. Issue ni watu wanataka ushindani ili huduma ziwe za kumjali mteja. Kama kweli hao Azam walikuwa hawataki watu walanguliwe ticket zao wangeweka njia ya mauzo ya tiketi iwe wazi na siyo ya ulanguzi. Kwa hiyo watu wanachosubiri hapa siyo nani mbabe bali nani mwenye huduma nzuri.
 
Kuna watu wamedominate hiyo biashara hawapendi ushindani, ukija na ushindani wako unafanywa kama Royal Express ya Said Mbuzi.

ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ "ᴷⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ"
 
Hiyo Zanzibar one ni ya nani......usikute wote ni ngozi nyeupe alafu tunaobishana ni ngozi nyeusi tiii
Mimi siyo racist lakini ujumbe kwenye swali lako una maana kubwa sana. Bado nakumbuka ile miaka ya nyuma ya Simba na Yanga kipindi hicho ni kina Gulamali vs Dewji. Ngozi nyeusi wale jamaa walitupelekesha kweli kweli kumbe wenzetu wanajua wanachopata. Nikikumbuka nilivyokuwa shabiki asiyetaka kuambiwa chochote na nilikuwa nawaona hawa wahindi kama miungu watu mpaka sasa huwa nasikitika. Nashukuru ule ushabiki wa Simba na Yanga umenitoka kabisa sasa hivi.
 
Ilifanywa nini hiyo tena hiyo?
 
Yah.....nawakumbusha wenzangu maan hua tuanjisahau sana huku jamaa wakipiga mpunga.........na hapa nafikiria mabilionea wenye asili ya kule kolomije au kishumundu kk wapo
 
Hao abiria wanaojirusha kwenye maji huwa ni kwa makusudi au inakuaje? Naomba unieleweshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kilimanjaro 4 na 7 zote ni jet engines, sawasawa na hizo za Zanzibar 1.

Tatizo Kilimanjaro 4 inachukua abiria wengi, mizigo na ina engines 4 inakula mafuta sana. Ndio maana imewekwa route za kupambana na Zanzibar 1.

Kilimanjaro 7 yenyewe kwanza engine yake ndio kwanza imeanza kutumika kwenye hiyo boat ( aina ya zile engines ni toleo jipya la Rolls Royce ndio imewekwa kwenye ile boat kwa mara ya kwanza, ni toleo jipya). Inatembea hatari.

Kinachonisikitisha Kaptein Mgalula niliyemheshimu sana tokea akiwa Azam Marine ndio anafanya huu ushabiki usio na maana. Jumamosi tumeondoka saa sita na nusu Unguja, Zanzibar 1 alitangulia kuondoka akaenda mbele kidogo akasimama, tukapita tukiwa kwenye Kilimanjaro 4, alitufukuzia amekuja kutupita karibia na maboya. Akifika anaweka mbwembwe na kuigeuza kabisa ili ipaki ikiwa ipo tayari kuondoka. Kwenye huo msukosuko anapoteza muda kiasi kwamba abiria wa Kilimanjaro wanashuka mwanzo au wanashuka pamoja.

Vile vile zile Zanzibar 1 wanazipumzisha routes, hawazifanyii kama Kilimanjaro ambapo boat inapiga safari tatu siku nzima non stop.

Wataleta kitu ambacho speed yake haitakua na mfano. Napenda pawe na watoa huduma zaidi ila kushindana na Azam inabidi ujipange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…