Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Mkuu sisi tunasafiri kila siku.Ticket mtandaoni zipo madirishani hakuna kaz yao kulangua tu.Kawaida msimu wa ckukuu au msimu wa wagen wengi bac boat mfno saa sita huez kufka pale eti saa tano ukategemea upate economy class never mana weng wanakata economy na business kawaio ni lazma ukate mapema mno mana zinajaa na hata ukiingia ndan unakuta kweli seat hazpo na huezi kuzidsha abiria sio salama hasa kwa boat ambayo ni ndg na sometime boat ya saa kumi unaweza kukuta imejaa ila ya saa tatu bdo kutegemea na ticket zilvokatwa na kuhusu ticket za elf40 nje ni za madalali ambao wanazikata kusudi Coz wanajua tu zitaisha ndan na atotokea mtu wamuuzie nje kw bei yao kubwa wengne wao wanakua wale walogairisha safar wanaiuza nje kwa udalali wakat Azam km boat haijaondka unaweza kuicancel hawaend wenyew na jengne ni kuhusu Azam hawawez kujua km hii ticket mtu anaikata ni dalali mana wanaikata kwa kitambulisho watajua ni msafiri tu na wanasisitiza mtu ticket akate ofcn au kw agents na GETINI haupiti kama hauna kitambulisho au barua ya utambulisho na viendane na jina la ticket kwaio ukinnua ticket nje ni za dalali akiezkata si Azam tena na kwa kujaa boat zao zinajaa uhakika sio kwamba hawauzi maksudi labda ckuiz ndo mda wowote ukienda ticket unapata na ukitaka kujua km ticket zpo au hazpo au hawakuuzii maksudi ingia kwenye online booking utaona ticket km zpo au hamna zinaaoma kwenye system zikiisha tu inajiandka sold au km ni class unakuta haisom ticket kwaio hawawez kukata ticket wakakupa hata iweje upate mwenyej na uwe na emergency kubwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app