Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Kwahiyo mwendo kama KISBO? boti inakimbia mpaka unakumbatia siti ya jirani mbele yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Basi itakua Zanzibar one kuikatisha kilimanjaro mbele ili ashushe mwnzo ndio mchezo wake cha ajabu lkn Azam anashusha mwnzo juzi alifnya hivi pia na hakueza kushusha mwnzo na boat zina safar ya saa moja saa tatu saa sita na saa kumi na zipo nne wakat Zanzibar one zipo mbili kwa mm bado cjaona ubaya wa kilimanjaro yyte muhim nifke salama bado cjaona uhakika wa safari kushinda Azam


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mfanyakazi wa Azam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeweza ingia JF bila shaka unaweza ku book seat yako online kisha ukaenda na reference number yako dirishani ukalipia. Kulanguliwa ni kutaka mwenyewe
 

Shukrani kwa maelezo yaliyojitosheleza mkuu.

Ninaposema hii kitu ilinitokea nina uhakika na ninachokiongea, mara ya kwanza ilikuwa mwishoni mwa October 2019, na baadae wiki ya pili ya November 2019, (interval ya 3-4 weeks). Na zote ni route za Zanzibar kuja Dar.

Hiyo ya october nilifika saa 8 na nusu, nikaambiwa siwezi kupata boti ya saa 10, wale jamaa wa nje wakaniuzia kwa 40,000/-. Kumbuka hata zile za 35,000 niliambiwa zimeshaisha, lakini nilivyoingia nilikuta siti za 25,000 zipo, na hata zile za 35,000 zilikuwepo pia.

Juzi baada ya Zanzibar 1 kuwepo, hata ufike nusu saa kabla unapata ticketi na unasafiri.
 
Anayejua bei ya boti kama ya azam au zanzibar 1 atuambie.


Sehemu yoyote akikaa mtu mweusi lazima aibe.
 

Binafsi ni mteja mtiifu na mwaminifu kwa Azam, na ntaendelea hivyo hadi itakapotokea jambo lisilo la kawaida.
 
Reactions: amu



Wale jamaa wa nje hasa kwa Zanzibar hiyo ni kawaida yao kw wagen na wenyej n ckuiz ndo wamezid kwa kua boat mbili kuhusu ticket hiyo ilokutokea cwez kubisha mana cjui situation gan ilikutokea cku hiyo ila sometimes unakuta watu wamerudsha ticket wengne wanacmama nje wengne wanakaa mbele na wengne wanakata economy ila jamaa zao wanawaingza VIP na royal kwaio seat zinaweza kua tupu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma yao
View attachment 1418802
Ujaribu kujitosa baharini ili wakuokoe?
 
Anayejua bei ya boti kama ya azam au zanzibar 1 atuambie.


Sehemu yoyote akikaa mtu mweusi lazima aibe.

Zanzibar one kuna 25K, 40K, 50K, 300K silver, gold na nyenginezo class

Azam marine kuna 25K, 35K, 50K, 60K
Class tofaut tofaut economy class, economy premium, business class, VIP class, Royal class and Private cabin


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…