PEKU LA UNGO
Member
- Feb 17, 2020
- 66
- 48
Simfahamu mkuu.....ni tycoon?
Turky ni mfanyabiahsara maarufu Zanzibar ni tajiri na ni mwakikishi wa jimbo la mpendae Zanzibar kama hajabadlishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simfahamu mkuu.....ni tycoon?
Simfahamu mkuu.....ni tycoon?
Kwahiyo mwendo kama KISBO? boti inakimbia mpaka unakumbatia siti ya jirani mbele yako.Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.
View attachment 1418732
lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Hao abiria wanaojirusha kwenye maji huwa ni kwa makusudi au inakuaje? Naomba unieleweshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro 4 na 7 zote ni jet engines, sawasawa na hizo za Zanzibar 1.
Tatizo Kilimanjaro 4 inachukua abiria wengi, mizigo na ina engines 4 inakula mafuta sana. Ndio maana imewekwa route za kupambana na Zanzibar 1.
Kilimanjaro 7 yenyewe kwanza engine yake ndio kwanza imeanza kutumika kwenye hiyo boat. Inatembea hatari.
Kinachonisikitisha Kaptein Mgalula niliyemheshimu sana tokea akiwa Azam Marine ndio anafanya huu ushabiki usio na maana. Jumamosi tumeondoka saa sita na nusu Unguja, Zanzibar 1 alitangulia kuondoka akaenda mbele kidogo akasimama, tukapita tukiwa kwenye Kilimanjaro 4, alitufukuzia amekuja kutupita karibia na maboya. Akifika anaweka mbwembwe na kuigeuza kabisa ili ipaki ikiwa ipo tayari kuondoka. Kwenye huo msukosuko anapoteza muda kiasi kwamba abiria wa Kilimanjaro wanashuka mwanzo au wanashuka pamoja.
Vile vile zile Zanzibar 1 wanazioumzisha routes, hawazifanyii kama Kilimanjaro ambapo boat inapiga safari tatu siku nzima non stop.
Wataleta kitu ambacho speed yake haitakua na mfano. Napenda pawe na watoa huduma zaidi ila kushindana na Azam inabidi ujipange.
mimi nmesafiri last time na kilimanjaro VII tulitumia 1:10 minutes....ukiritimba upo lakini huduma za azam huwezi fananisha na mtoa huduma yeyote kwa route hiyo..
Nikajua nawe unataka hizo huduma za kuokolewa kwenye maji.Maisha yngu nayapenda sana bado sina hata moja nilofnya la kuacha kumbukumbu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu trafiki wapo maeneo ya chumbe lkn jamaa hatii amri ya kusimama kabisaHakuna trafiki hiyo njia wazuie mwendokasi?
Hii ilkua juzi ijumaa nilkua kwenye Azam Kilimanjaro 7 ni kweli Zanzibar one unakimbia Azam usifananishe na boat zozote nyengne nafkir zinafanana kwa Speed knots ni vile Zanzibar one anaforce kufka mwnzo ila Azam anajiamin na ameridhka na mda ambao anafka Azam anatembea hadi 35 knots hasa hasa kilimanjaro 4 na kilimanjaro 7 ndo zina speed sana na zinawah klko nyengne mm ni mzoefu wa Azam kila mwez natumia rout hazpungui nne kilimanjaro 7 na 4 zinatumia dakika 70 kufka na anatembea kwa kujiamin bila kuforce kuwah hata juzi tulishuka dar saa 17:15 na Hizo picha unaona nilichkua video sema siwez kuiupload Zanzibar one alimkatishia Azam mbele hapo kwa kuona anawah kufka kwenye maboya akaharakia kwa speed zote ikabdi kilimanjaro 7 apunguze speed kumwachia aingie hata hivyo sisi wa kilimanjaro tulishuka mwnzo tukamuacha Zanzibar one anahangaika kupark sasa kuna maana gan mbil nyingiiiiiii ila unachelewa kuapark na kuchelewa kushusha wakat Azam akiingia tu ashaandaa milango na wahudumu wapo tayar kushusha maboya unashuka within 3 minutes akishafka na pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu) pia boat za Azam ni mpya kabsa zinatengenezwa kutoka kiwandan Australia na akiona imechoka anauza km sea bus one na two na kilimanjaro three kwa mm cjaona tofaut ya hizi boat mbili na kwa usalama wngu akili yngu inaniambia kilimanjaro ni salama zaidi Coz anatembea kwa kujiamin si kwa kijilazmisha inaweza kuharbu chombo
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1418903
Kama hapo zikiisha system yenyew inakwambia mana zimeingzwa kwa limit ya seat na limit ya idada ya wanaocmama nje pemben na watoto kuanzia 7 years anisabiwa seat
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida msimu wa ckukuu au msimu wa wagen wengi bac boat mfno saa sita huez kufka pale eti saa tano ukategemea upate economy class never mana weng wanakata economy na business kawaio ni lazma ukate mapema mno mana zinajaa na hata ukiingia ndan unakuta kweli seat hazpo na huezi kuzidsha abiria sio salama hasa kwa boat ambayo ni ndg na sometime boat ya saa kumi unaweza kukuta imejaa ila ya saa tatu bdo kutegemea na ticket zilvokatwa na kuhusu ticket za elf40 nje ni za madalali ambao wanazikata kusudi Coz wanajua tu zitaisha ndan na atotokea mtu wamuuzie nje kw bei yao kubwa wengne wao wanakua wale walogairisha safar wanaiuza nje kwa udalali wakat Azam km boat haijaondka unaweza kuicancel hawaend wenyew na jengne ni kuhusu Azam hawawez kujua km hii ticket mtu anaikata ni dalali mana wanaikata kwa kitambulisho watajua ni msafiri tu na wanasisitiza mtu ticket akate ofcn au kw agents na GETINI haupiti kama hauna kitambulisho au barua ya utambulisho na viendane na jina la ticket kwaio ukinnua ticket nje ni za dalali akiezkata si Azam tena na kwa kujaa boat zao zinajaa uhakika sio kwamba hawauzi maksudi labda ckuiz ndo mda wowote ukienda ticket unapata na ukitaka kujua km ticket zpo au hazpo au hawakuuzii maksudi ingia kwenye online booking utaona ticket km zpo au hamna zinaaoma kwenye system zikiisha tu inajiandka sold au km ni class unakuta haisom ticket kwaio hawawez kukata ticket wakakupa hata iweje upate mwenyej na uwe na emergency kubwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi itakua Zanzibar one kuikatisha kilimanjaro mbele ili ashushe mwnzo ndio mchezo wake cha ajabu lkn Azam anashusha mwnzo juzi alifnya hivi pia na hakueza kushusha mwnzo na boat zina safar ya saa moja saa tatu saa sita na saa kumi na zipo nne wakat Zanzibar one zipo mbili kwa mm bado cjaona ubaya wa kilimanjaro yyte muhim nifke salama bado cjaona uhakika wa safari kushinda Azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa maelezo yaliyojitosheleza mkuu.
Ninaposema hii kitu ilinitokea nina uhakika na ninachokiongea, mara ya kwanza ilikuwa mwishoni mwa October 2019, na baadae wiki ya pili ya November 2019, (interval ya 3-4 weeks). Na zote ni route za Zanzibar kuja Dar.
Hiyo ya october nilifika saa 8 na nusu, nikaambiwa siwezi kupata boti ya saa 10, wale jamaa wa nje wakaniuzia kwa 40,000/-. Kumbuka hata zile za 35,000 niliambiwa zimeshaisha, lakini nilivyoingia nilikuta siti za 25,000 zipo, na hata zile za 35,000 zilikuwepo pia.
Juzi baada ya Zanzibar 1 kuwepo, hata ufike nusu saa kabla unapata ticketi na unasafiri.
Ujaribu kujitosa baharini ili wakuokoe?usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma yao
View attachment 1418802
Anayejua bei ya boti kama ya azam au zanzibar 1 atuambie.
Sehemu yoyote akikaa mtu mweusi lazima aibe.