mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tarehe 30 mwezi wa 9 nilìkuw hukoHua unasafiri na kusafirisha mzigo pale?🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 30 mwezi wa 9 nilìkuw hukoHua unasafiri na kusafirisha mzigo pale?🤔🤔🤔
Kila jambo linawezekana...Inawezekana ukawa unawalaumu wao kumbe ni nyinyi abiria ndio hamna time keeping
Azam marine wapo vizuri sana sijawahi chelewa hata siku moja siku zote ipo on time. Tega muda saa yako utaona.Ni vle tu ni biashara ya mtu na pia hawana mshindani wa maana lkn huduma za pale haziridhishi
Saa 30 mins tuu[emoji23][emoji23][emoji23]kwenda zenji au sio na akili zake zilivyo na fungus kichwani angeenda kuchukua
Nimekuelewa mkuu, kwenye mfumo inaonesha saa 9:30 lakini ukiwapigia huduma kwa wateja wanakupa ratiba ya saa 9:00. Huwa mara nyingi naenda na Zanfast ili happen tu this time nikapanda Azam(We boat unapanda badala upewe safety hints unaoneshwa product zao tu, life jacket sijui wameficha wapi hata huzioni, Zanfast kila seat ina life jacket na kabla ya safari unaelekezwa namna ya kutumia ) na kabla nilipiga simu kujua ratiba na wakanipa ratiba ya saa 1, saa 3, saa 6 na saa 10 tena wakaweka neno kamili. So kama wao wenyewe hawajui ratiba zao unategemea mie ntawaelewa? Nimekuwekea na screenshot hapo niliyowapigia.
Safari yoyote mkuu lazima uambiwe reporting time nusu saa kabla, haiwezekani boti iondoke 9:30 uambiwe hio hio 9:30 lazima uambiwe 9:00 kuna muda wa kukaguliwa na mambo mengine.Nimekuelewa mkuu, kwenye mfumo inaonesha saa 9:30 lakini ukiwapigia huduma kwa wateja wanakupa ratiba ya saa 9:00. Huwa mara nyingi naenda na Zanfast ili happen tu this time nikapanda Azam(We boat unapanda badala upewe safety hints unaoneshwa product zao tu, life jacket sijui wameficha wapi hata huzioni, Zanfast kila seat ina life jacket na kabla ya safari unaelekezwa namna ya kutumia ) na kabla nilipiga simu kujua ratiba na wakanipa ratiba ya saa 1, saa 3, saa 6 na saa 10 tena wakaweka neno kamili. So kama wao wenyewe hawajui ratiba zao unategemea mie ntawaelewa? Nimekuwekea na screenshot hapo niliyowapigia.
Saa 30 mins tuu
Mtu unalalamika ahahahaha
Sijaongekea reporting time boss, Kwa point yako ya TV una maana business class ndio maisha yao yana umuhimu kuliko wengine na kama niliona TV ushajua class yangu. Then unatakiwa ujue hatufanani akili na kujali usalama wetu, huenda wewe hukagui njia za usalama ikitokea dharura lakini mimi kitu cha kwanza huwa naangalia pa kutokea na huwezi nikuta nimekaa position ambayo naona kabisa ntapata taabu kujiokoa so napokwambia Azam hamna life jacket mahali zinapoweza kufikiwa kwa urahisi na ZanFast zipo chini ya kila seat unatakiwa uelewe, tofauti na wewe unaepanda ma kuweka makalio mimi kabla sijakaa na scan kila angleSafari yoyote mkuu lazima uambiwe reporting time nusu saa kabla, haiwezekani boti iondoke 9:30 uambiwe hio hio 9:30 lazima uambiwe 9:00 kuna muda wa kukaguliwa na mambo mengine.
Pia risiti yako inaonesha ni economy kwa uelewa wangu Economy hakuna TV kwa boti zote mbili Azam na Zan fast ferries pia Hakuna na si kweli Zan fast ferries ina life jacket kila siti, in short boti zote mbili zinafanana hata model ni zile zile. Economy unakuta tu ile mipira ya kurusha na vifaa vingine vya uokozi vya kushare. Vip/Royal huko kutakua na TV private zinazoonesha uokozi na Business class utapata TV shared.
Boat zote mbili zinafanana nimepanda Vip, Royal, private Cabin, Economy etc unachochanganya hapa una Compare Economy ya Azam na Vip ya Zan Fast ferry. Hakuna boat hata moja yenye hizo life jacket Economy na hakuna boat hata moja inayotoa instruction za kujiokoa Economy that's a fact. Unachoongelea hapa ni Ubishi tu.Sijaongekea reporting time boss, Kwa point yako ya TV una maana business class ndio maisha yao yana umuhimu kuliko wengine na kama niliona TV ushajua class yangu. Then unatakiwa ujue hatufanani akili na kujali usalama wetu, huenda wewe hukagui njia za usalama ikitokea dharura lakini mimi kitu cha kwanza huwa naangalia pa kutokea na huwezi nikuta nimekaa position ambayo naona kabisa ntapata taabu kujiokoa so napokwambia Azam hamna life jacket mahali zinapoweza kufikiwa kwa urahisi na ZanFast zipo chini ya kila seat unatakiwa uelewe, tofauti na wewe unaepanda ma kuweka makalio mimi kabla sijakaa na scan kila angle
Si ungeondoka na hiyo Zan Fast.Mkuu Zan fast unaanza ku board nusu saa kabla, ontime inaondoka. Azam unaanza ku board msa wa kuondoka ushapita. Hapa issue tunaangalia mda ulioandikwa kwenye tiketi.