Azam marine ovyo kabisa

Azam marine ovyo kabisa

Attachments

  • 20230930_105655.jpg
    20230930_105655.jpg
    322 KB · Views: 2
Ni vle tu ni biashara ya mtu na pia hawana mshindani wa maana lkn huduma za pale haziridhishi
Azam marine wapo vizuri sana sijawahi chelewa hata siku moja siku zote ipo on time. Tega muda saa yako utaona.

Muulize mhenga yoyote kuhusu Mv Sepide na boat zilizokuepo kabla ya Azam, kifo nje nje, kila miezi kadhaa unasikia imezama.
 
View attachment 2771692

Sijawahi ona boat ya saa 3

View attachment 2771692

Sijawahi ona boat ya saa 3
Nimekuelewa mkuu, kwenye mfumo inaonesha saa 9:30 lakini ukiwapigia huduma kwa wateja wanakupa ratiba ya saa 9:00. Huwa mara nyingi naenda na Zanfast ili happen tu this time nikapanda Azam(We boat unapanda badala upewe safety hints unaoneshwa product zao tu, life jacket sijui wameficha wapi hata huzioni, Zanfast kila seat ina life jacket na kabla ya safari unaelekezwa namna ya kutumia ) na kabla nilipiga simu kujua ratiba na wakanipa ratiba ya saa 1, saa 3, saa 6 na saa 10 tena wakaweka neno kamili. So kama wao wenyewe hawajui ratiba zao unategemea mie ntawaelewa? Nimekuwekea na screenshot hapo niliyowapigia.
 
Attachments

  • Screenshot_20231005-072246.png
    Screenshot_20231005-072246.png
    8.5 KB · Views: 6
Nimekuelewa mkuu, kwenye mfumo inaonesha saa 9:30 lakini ukiwapigia huduma kwa wateja wanakupa ratiba ya saa 9:00. Huwa mara nyingi naenda na Zanfast ili happen tu this time nikapanda Azam(We boat unapanda badala upewe safety hints unaoneshwa product zao tu, life jacket sijui wameficha wapi hata huzioni, Zanfast kila seat ina life jacket na kabla ya safari unaelekezwa namna ya kutumia ) na kabla nilipiga simu kujua ratiba na wakanipa ratiba ya saa 1, saa 3, saa 6 na saa 10 tena wakaweka neno kamili. So kama wao wenyewe hawajui ratiba zao unategemea mie ntawaelewa? Nimekuwekea na screenshot hapo niliyowapigia.
Safari yoyote mkuu lazima uambiwe reporting time nusu saa kabla, haiwezekani boti iondoke 9:30 uambiwe hio hio 9:30 lazima uambiwe 9:00 kuna muda wa kukaguliwa na mambo mengine.

Pia risiti yako inaonesha ni economy kwa uelewa wangu Economy hakuna TV kwa boti zote mbili Azam na Zan fast ferries pia Hakuna na si kweli Zan fast ferries ina life jacket kila siti, in short boti zote mbili zinafanana hata model ni zile zile. Economy unakuta tu ile mipira ya kurusha na vifaa vingine vya uokozi vya kushare. Vip/Royal huko kutakua na TV private zinazoonesha uokozi na Business class utapata TV shared.
 
Sijaongekea reporting time boss, Kwa point yako ya TV una maana business class ndio maisha yao yana umuhimu kuliko wengine na kama niliona TV ushajua class yangu. Then unatakiwa ujue hatufanani akili na kujali usalama wetu, huenda wewe hukagui njia za usalama ikitokea dharura lakini mimi kitu cha kwanza huwa naangalia pa kutokea na huwezi nikuta nimekaa position ambayo naona kabisa ntapata taabu kujiokoa so napokwambia Azam hamna life jacket mahali zinapoweza kufikiwa kwa urahisi na ZanFast zipo chini ya kila seat unatakiwa uelewe, tofauti na wewe unaepanda ma kuweka makalio mimi kabla sijakaa na scan kila angle
 
Boat zote mbili zinafanana nimepanda Vip, Royal, private Cabin, Economy etc unachochanganya hapa una Compare Economy ya Azam na Vip ya Zan Fast ferry. Hakuna boat hata moja yenye hizo life jacket Economy na hakuna boat hata moja inayotoa instruction za kujiokoa Economy that's a fact. Unachoongelea hapa ni Ubishi tu.

Zan Fast ferries ukikaa Economy kuna Boya tu moja kubwa na Vipisi kadhaa vya matairi, watu wanakaa hadi kwenye ngazi same to Azam.

Na hio ni Opportunity Cost unayo incur ukipanda Economy, watakupa minimum safety compare na Royal.
 
Hapo unasema wanaonesha matangazo ya bidhaa zao tu umeongopa,ni mwaka wa 9 sasa naishi unguja..boti ikianza kuondoka tv zote zinaonesha vifaa vilipo na namna ya kujiokoa bot ikipata itilafu...
Bot zote zina tv hata upande wa Economy.

Kesho nasafiri pia nitachukua video fupi ikionesha matangazo namna gani unatakiwa ufanye boti ikipata tatizo.

Uhalisia Azam bado hawana mpinzani,huduma zao ni mbovu mno.
Hapo awali kulikua na walanguzi wa tiketi!mtu mmoja ananunua tiketi zote then anaziuza bei anayotaka yeye...
Toka imekuja Zanzibar one tatizo limeyuka.
 
Mkuu Zan fast unaanza ku board nusu saa kabla, ontime inaondoka. Azam unaanza ku board msa wa kuondoka ushapita. Hapa issue tunaangalia mda ulioandikwa kwenye tiketi.
Si ungeondoka na hiyo Zan Fast.
 
Back
Top Bottom