Azam marine ovyo kabisa

Azam marine ovyo kabisa

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.

SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
 
Nadhani wewe si mzoefu wa hizo Boats
Katika Kampuni zote zinazooperate ktk hiyo route Azam ndio wenye afadhali Yaani Chongo ni Mfalme katikati ya Vipofu
Three weeks ago nilikuwa natoka Unguja nakuja Dar nilikata ticket boat ya saa 10:30 jioni
Kwenye saa 9:00 alasiri nikawa nishamaliza shughuli zangu nikawapigia Azam kama kuna boat b4 saa 10:30 wakaomba details zangu wakaniambia niwahi port kuna boat ya saa 9:15 alasiri. Saa 9:30 tukaanza safari
Usiwalaumu Azam peke yao uliza uambiwe madudu yanayofanywa na ATCL ya kumsubiri Mheshimiwa XYZ zaidi ya masaa 2
No hurry in Africa

Ciao
 
Mkuu Zan fast unaanza ku board nusu saa kabla, ontime inaondoka. Azam unaanza ku board msa wa kuondoka ushapita. Hapa issue tunaangalia mda ulioandikwa kwenye tiketi.
 
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.

SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Ungechukua boda chap🤓🤓🤓🤓🤓
 
We unaingiza hewa kwenye fuvu au sio. Tangu lini chombo kinasubiti abiria. Abiria unafika kabla ya mda wa safari as long as umekata tiketi wakienda empty kwanza inawapunguzia gharama za mafuta.

Nadhani wewe ndio ilo fuvu lako lina matapishi maana huwezi kujitambua kama kuna abiria wengine wanaweza chelewesha chombo acha kukariri na ilo fuvu lako la zinzathropus africANUS lenye akili ya nnyaa
 
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.

SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Hao wamejitahidi.

Aiar Tanzania nilikata tiketi ya saa 3, nilikuwa nawahi mazishi, lakin tuliondoka saa 9 jioni.

Tena hata taarifa sikupewa
 
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.

SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Saa 3 kamili kulikuwa na meli kubwa ya makontena ilikuwa inaingia bandarini... Sheria hapo ni mdogo lazima amsubiri mkubwa apite....

Nadhani ushanifahamu uzuri...
 
Nadhani wewe si mzoefu wa hizo Boats
Katika Kampuni zote zinazooperate ktk hiyo route Azam ndio wenye afadhali Yaani Chongo ni Mfalme katikati ya Vipofu
Three weeks ago nilikuwa natoka Unguja nakuja Dar nilikata ticket boat ya saa 10:30 jioni
Kwenye saa 9:00 alasiri nikawa nishamaliza shughuli zangu nikawapigia Azam kama kuna boat b4 saa 10:30 wakaomba details zangu wakaniambia niwahi port kuna boat ya saa 9:15 alasiri. Saa 9:30 tukaanza safari
Usiwalaumu Azam peke yao uliza uambiwe madudu yanayofanywa na ATCL ya kumsubiri Mheshimiwa XYZ zaidi ya masaa 2
No hurry in Africa

Ciao
Hili swala la kusubiri Muheshimiwa lilishawahi kutaka kutokea nikiwa Mwanza.

Kuna Naibu Waziri mmoja alikuwepo hapo Airport akishurtisha boarding isifanywe mpaka mtu wake aje kutoka mjini, tulikuja kugundua ni mchepuko wake kutoka kwa wahudumu wa Airport maana haikuwa mara ya kwanza kwa mujibu wao.

Katika wasafiri palikuwepo na wanajeshi kadhaa, miongoni mwao alikuwemo General mmoja, ambae alivaa kiraia.

Alikwenda mwanajeshi mmoja kuongea na Naibu Waziri, akajibiwa shombo na machawa.
Ndipo alipoinuka huyo General na kumfuata Naibu Waziri, baada ya utambulisho tu machawa wote waliufyata na tuli board na kuondoka kwa wakati.

Hatukujua waziri aliambiwa nini ila alinywea kama mtoto mdogo.
Haikuchukua hata mwezi jamaa aliwekwa bench na Magu, mpaka leo sijamsikia tena. Sijui kama lile tukio lilikuwa na mahusiano na kutumbuliwa kwake.
 
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.

SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Screenshot_20231004-163651.png

Sijawahi ona boat ya saa 3
 
Kwani ndege hamna? Ndege dkk 15 unafika kukamilisha dili zako. Sema nyie wavuvi mmezoea mitumbwi, hivyo mnahisi boat ni mtumbwi uliofungwa mota
 
Back
Top Bottom