Azam Marine, Ticket Namba Zinafanana, Imekaaje hii!?

Azam Marine, Ticket Namba Zinafanana, Imekaaje hii!?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau,
Niko kwenye ofisi za Azam hapa nimekata Ticket ya kwenda Zanzibar asubuhi hii kutembea na Mtoto wangu.
Cha ajabu wote wawili tumepewa Ticket zenye kufanana Namba jambo ambalo sidhani kama ni sahihi.
Katika kufuatilia kwa abiria wenzangu nikagundua wapo wengine waliopewa nao tickets zenye kufanana namba.
Wasiwasi wangu ni kua labda wakatisha tiket wanamuibia Bakhressa,
Au Bakhressa anashirikiana nao kuiibia Serikali kwa ku-lower idadi ya abiria.
 
Bon voyage kaka,tusalimie zenj.

Possibilities:

1. Tax evation /crime /possible

2. Tax avoidance /not a crime/ unlikely

3:Honest mistake possible but unlikely.

4. Some thieving goons wanamwibia tajiri ,insider job/ possible.
 
Back
Top Bottom