Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

Ahsante kwa taarifa Mkuu maana kesho naelekea huko
 
Mwezi wa kumi analeta Chombo kipya, Kilimanjaro VIII.

Nimeona hakuna ongezeko la nauli Kwa Royal Class, imebaki 80,000/- ileile.
 
Halafu hii vita ukiangalia unaona kama ni upumbavu tu ,Russia anaharibu miji kwa mabomu hadi anafikia pahala hajui afanye nini...a abaki anashangaa shangaa...
Wacha wapigane vita ni funzo pia,Wazungu hawajuagi athari ya mojakwamoja ya vita.wanaonaga tu Middle East na Afrika tukitifuana wao wanashangilia kwa kuzuga kututafutia suluhu,nyuma ya pazia wanatuuzia silaha tutwangane
 
Kwanini wa nje ya Tz walipe 80,000+ ?
 
Kwanini wa nje ya Tz walipe 80,000+ ?
Ukiwaekea gharama kidogo wanaweza dhani ni local ++ au kama wasemavyo low class kumbuka dola moja ni 2340/= tsh na wengi wao wamekuja uku kuspend
 
Halafu hii vita ukiangalia unaona kama ni upumbavu tu, Russia anaharibu miji kwa mabomu hadi anafikia pahala hajui afanye nini...a abaki anashangaa shangaa...
Vladimirni mpumbavu, as he done ni alitaka kutoa siraha zilizokuwa zinakaribia kuexpire badala ya kuziangamiza ndiposa akaona aue na kuharibu nchi nyingine.

Cha kushangaza anaendelea kutoa siraha kwa kupiga ovyo ovyo ili ziishe, anasingizia ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…