Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

Si itokee 'dona kantri' moja ijenge daraja Dar mpaka ZNZ wabara tuwe tuna drive tu kwenda kula urojo.
20220117_190533.jpg
 
Mafuta yamepanda kila kitu kitapanda imagine raisi wa nchi anaongea kauli kama hiyo kweli.
 
Haya mambo ya bei tofauti kwa mujibu wa utaifa yanapromote ubaguzi, sisi ndo wa kwanza kulalamika ubaguzi. Kwani huyo foreigners anapewa huduma tofauti na mswahili, haya mambo unayakuta pia mbugani na kwenye hotel za kitalii.
Kisha unataka kupromote utalii huku unawaweka bei za kibaguzi
 
Back
Top Bottom