Haya mambo ya bei tofauti kwa mujibu wa utaifa yanapromote ubaguzi, sisi ndo wa kwanza kulalamika ubaguzi. Kwani huyo foreigners anapewa huduma tofauti na mswahili, haya mambo unayakuta pia mbugani na kwenye hotel za kitalii.
Kisha unataka kupromote utalii huku unawaweka bei za kibaguzi