LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
unataka kusema hadi yule unayempenda aliyekataa kuitwa mshangazi ?Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.
Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.
Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.