Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.

Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.

Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.
unataka kusema hadi yule unayempenda aliyekataa kuitwa mshangazi ?
 
kasoro Hilda Phoya wangu, yeye anajua kiingereza.
View attachment 3138847

Jana alimuhoji mkurugenzi wa USAID Tanzania kwa kiingereza kizuri kabisa, ndani ya nusu saa nzima.

Mara nyingi mnaolalamika kuhusu kiingereza wenyewe kinawapiga chenga.
Jamaa angu fanya kunitumia namba ya Hilda Phoya ni mrembo haswa atanifaa sana kwa matumizi ya siku za hivi karibuni nikifika hapo Darsalaam.
 
Sitetei kutokujua ila nauliza Wateja wao ni kina nani ?, Huenda issue sio kujua au kutokujua bali kutumia lugha ambayo haina ulazima kwa soko lao (after all its all about communication na kama kuna alternative au wanaeleweka basi tusonge mbele)
ishu ni kuwahoji makocha wa kigeni na wachezaji wa kigeni, utawahoji vipi na kiingereza hujui? Japo wapo makocha na wachezaji hao nao kiingereza chao ni cha kuungaunga mtangazaji unatakiwa uwazidi kukitafuna kiingereza
 
Azam Media mnatia aibu na sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
mbona wafaransa hawajui kiswahili?
 
Look at the context brother, not all superlatives ends with "est"
Sisi tulifundishwa neno "dumb" lina comperative dumber na superlative dumbest.

Kayumba za '90s hizo mkuu, nipe elimu maana najua kiyunani kilichonyooka hapo umepindisha...of course we understand what you meant, but usahihi wake sijui...

Ngoja nimuite ticha wangu Atoto
 
ishu ni kuwahoji makocha wa kigeni na wachezaji wa kigeni, utawahoji vipi na kiingereza hujui? Japo wapo makocha na wachezaji hao nao kiingereza chao ni cha kuungaunga mtangazaji unatakiwa uwazidi kukitafuna kiingereza
Na hao makocha wajitahidi kujifunza hata kiswahili cha kuombea maji au timu husika ilete mtu wa kutasfiri..., hata huko UK kina the late Claudio Ranieri ilibidi wachapie na kuunga unga kwenye enterviews..., na sio TV husika kuhangaika kujifunza ki Italiano.... Ndio hivyo when in Rome do as Romans (Na ukiangalia hapo ni kwamba alipiga hatua sana kabla hata sentensi moja ya Kingereza ilikuwa ni shida)

View: https://youtu.be/tLnO6I3CtBM?si=ThR6JRtKQTiKxPjV
 
Sisi tulifundishwa neno "dumb" lina comperative dumber na superlative dumbest.

Kayumba za '90s hizo mkuu, nipe elimu maana najua kiyunani kilichonyooka hapo umepindisha...of course we understand what you meant, but usahihi wake sijui...

Ngoja nimuite ticha wangu Atoto
🤣🤣🤣🤣🤣
Abeee!
 
I might be wrong, okay maybe let's put it this way, not all superlatives "must" end with "est". Some phrases depend on the context to end either with adjectives, comparatives or superlatives.
 
Nakukatalia kwa Ushahidi Kuntu (Tukuka) wa Mtangazaji wa Kike ambaye nimemfundisha Mwenyewe Kozi aifanyayo mahala fulani mwaka 2010 hadi mwaka 2011 aitwae Fatma Abdallah Chikawe (Sports Lady) na hivi majuzi tu ametoka Kushinda Tuzo yake na ameshashinda nyingine mahala kuwa anajua Kiingereza hadi anakera na anawashinda hata Maprofesa wako unaowajua na Wasomi wengi nchini.

Mtangazaji wa Azam Media Mwadada Fatma Abdallah Chikawe anajua kuongea Kiingereza na Kukiandika vyema hadi raha. Mimi ni Mwalimu wake na kwa Kujiamini kabisa Nakuthibitishia hilo. Hata hivyo nakubaliana kuwa Watangazaji wengi wa Redio na Runinga nchini Tanzania wanachangamoto ya kuweza vizuri Kuwasiliana au Kuitumia hii Lugha ya Kiingereza.

Tena kama kuna Media ambayo sasa kwa Taarifa yako ndiyo ina Watangazaji wasiojua kabisa Kiingereza japo ukiwaona wanajifanya Wajanja na Wanajua ni wa IPP Media.

Kwahiyo wewe lugha inapanda? Unayagonga mayai na yanapasuka bila kuleta kelele?
 
I might be wrong, okay maybe let's put it this way, not all superlatives "must" end with "est". Some phrases depend on the context to end either with adjectives, comparatives or superlatives.
Of course not all of them end with -est, but this one has to end with -est to make a correct sentence. I understand sometimes we mix american english with British english, yaani watu kila mtu anajiongelea anavyojua tu...
... Atoto nimechoka kuandika, njoo unifundishe my babez
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Abeee!
Nimekuomba tu unisaidie maana hizo sentence nimejitahidi kuandika na kufuta hadi kikapatikana ukichokisoma😅😅😅😅😅😅😅
 
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?

Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.

Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Wengi waliishia madrasa.
 
Back
Top Bottom