Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikataba ya kinyonyaji alianza kusema fei, pia kuna mkataba wa GSM Simba aliugomea nao ulikiwa wa kinyonyajiAzam media anaihujumu Yanga (mteja wake) pale anapompa air time mtu anaeihujumu Yanga. Kupitia Azam media Mayelle ameitangazia dunia kuwa Yanga Ina mikataba ya kinyonyani na wachezaji, Yanga Kuna wachawi na Yanga hakuna amani. Hii maana yake nini kwa mustakabali wa Yanga na kwa wachezaji wanaotarajia kujiunga? Ona namna Fei toto walivyompata, nk
Shida ni CCM. Tido Mhando alipokuwa yupo TBC alikuwa anataka kuelekea huko lakini wakamtimua kisiasa. Idea yake akaenda kuitekeleza alipofika Azam. Pale TBC aliamza kwa kubadilisha jina la RTD kwenda TBC kisha akafungua TBC, TBC2, alitaka kuendelea na TBC3,.....TBC FM, nk. Wapo watu wasiona mbali ndani ya Chama na serikali.Acheni unafiki hao DStv na star times si walikuwepo peke Yao miaka mingi kabla ya Azam mbona hawakudhamini hiyo ligi
Weeeeee!!? Ndio maana hawakupewa miiko ya kazi. Tatizo la Azam sio uwezo mdogo wa kuonyesha mechi zote lakini ukosefu wa watangazaji wenye viwango na weledi wa kazi na udhamini. Mtangazaji anatangaza kama vile anatangaza kwenye radio badala ya television. Anapiga kelele kama vile watizamaji wake hawaoni, wanatangaZA KWA KUONYESHA TIMU WANAZOZIPENDA NA wasizozipenda, ni rahisi kujua mtangazaji ni shabiki wa timu ganiMashabiki wa Yanga naona bado mna jipu moyoni 😂
Mtoa mada hujui chochote kuhusu hii ligi na Azam Tv.
Huu mkataba wa sasa wa Azam Tv kuonyesha ligi hata DStv alikuwepo wakati wa kutaka kuonyesha ligi ila tatizo la DStv yeye alitaka kuonyesha mechi za simba na Yanga tuu, yani ndani ya msimu wote msingeona mechi za akina Kagera vs Dodoma jiji, Azam vs Coastal n.k Wakati Azam Tv anaonyesha mechi zote.
Sasa ww kama TFF kwa akili za chekechea tuu ungempa nani mkataba wa kurusha mechi.?
Ligi imekuwa kubwa kutokana na nguvu ya Azam Tv afu mnakuja kuleta hisia zenu za kijinga.
Unamuuliza mambo magumu sana haya mkuu.Dstv pia ni mdhamini wa ligi ya sauzi,pia ana timu yake kwenye ligi inaitwa super sport. Vip hapo?
Makosa mawili hayatengenezi zuri moja. Kama GSM kafanya kosa hiyo inahalalisha Azam nayo kufanya kosa? Kwani GSM ana timu kwenye ligi kuu kama ilivyo Azam? Alichofanya GSM ni kama alichofanya Fly Emirates au visit Rwanda. Lakini Azam anayo timu yake kabisaaa. Motsepe, CAF na mamelodi Kuna mipaka amepewa, amekabidhi timu kwa watu wengine. Azam je?Jiwe limekupata ndio unajitia weledi.Azam tulipiga kelele kuhusu conflict of interest mkasema tunalalamika.
Kama unapenda fair playing ground kwa timu zote wacha kuchagua inapoiathiri timu yako.
GSM wana mkataba na TFF wa miaka 2 na wao ndio wadhamini wa timu mojawapo kwenye ligi na Rais wa hiyo timu ni mfanyakazi wao.
Hapo hamna conflict of interest?Au inapoaathiri timu zenu pendwa ndio kelele zinaanza.
Msiwe na selective judgement kuweni na weledi wakati wote.
Cha Arusha hakuwezi kukuacha salama!Najiuliza hapa Uhuu ugomvi ya Azam na Chadema.,utaisha lini.
Mbona suala la uhusiano wa GSM na Rais wa Yanga na mkataba wa GSM unalikwepa?Hersi hawezi kuvaa kofia mbili kumwakilisha GSM na kuwa Rais wa Yanga.Makosa mawili hayatengenezi zuri moja. Kama GSM kafanya kosa hiyo inahalalisha Azam nayo kufanya kosa? Kwani GSM ana timu kwenye ligi kuu kama ilivyo Azam? Alichofanya GSM ni kama alichofanya Fly Emirates au visit Rwanda. Lakini Azam anayo timu yake kabisaaa. Motsepe, CAF na mamelodi Kuna mipaka amepewa, amekabidhi timu kwa watu wengine. Azam je?
standard ni lazima tv 8 ziwepo kila mechiStartimes wakichukua, wanatakiwa wahakikishe tunapata ubora wa hali ya juu, sio mambo ya kuwa na Camera moja uwanjani...
Wale wachina walete makamera mengi mengi uwanjani, wasisahau na proposal ya VAR na goal line technology
Ni kwel mkuuWeeee
Weeeeee!!? Ndio maana hawakupewa miiko ya kazi. Tatizo la Azam sio uwezo mdogo wa kuonyesha mechi zote lakini ukosefu wa watangazaji wenye viwango na weledi wa kazi na udhamini. Mtangazaji anatangaza kama vile anatangaza kwenye radio badala ya television. Anapiga kelele kama vile watizamaji wake hawaoni, wanatangaZA KWA KUONYESHA TIMU WANAZOZIPENDA NA wasizozipenda, ni rahisi kujua mtangazaji ni shabiki wa timu gani
Hawawezi kuelewaSuper Sports haimilikiwi na Dstv bali na Super Sports Broadcasting Company.
Na kama kwa siku zinachezwa game tano, basi zote lazima ziwe hewani kwa ubora uleule, sio inakuwa ubora unapatikana chamazi tu kwengine hovyostandard ni lazima tv 8 ziwepo kila mechi
Changamoto hizo za ubora sio jukumu la Azam Media kwa sababu viwanja vingi ni vibovu na havina vifaa na miundombinu ya kuwezesha Azam Media wafanye matangazo yao kwa ubora.Na kama kwa siku zinachezwa game tano, basi zote lazima ziwe hewani kwa ubora uleule, sio inakuwa ubora unapatikana chamazi tu kwengine hovyo
Kwa Sababu ya Interview ya Mayele.Azam ajiendae sana kupambana na hiyo Misukule.Hizi chuki Kwa Kampuni ya Azam mbona zimekuwa nyingi?
Star TV wanatumia camera za Tecno, Azam wana Camera nzuri sana. Fuatilia vipindi vyao mwanzo mwisho utakuja kuniambia. Hakuna media bongo yenye camera nzuri na sound quality kama Azam. Ukitaka kuthibitisha hili nenda fungulia ITV hata taarifa tu ya habari uone quality ya camera zao ndo utajua nasema nini, au kipima joto, vimtu utaviona kama viko compressed vifupi fupi vinene weeee! Chaaaa!!!Au tuwape Star Tv kama kipindi kile?
Yawezekana wewe ndio hauoni mbali TBC ni chombo Cha serikali tokea lini serikali ikafanya biasharaShida ni CCM. Tido Mhando alipokuwa yupo TBC alikuwa anataka kuelekea huko lakini wakamtimua kisiasa. Idea yake akaenda kuitekeleza alipofika Azam. Pale TBC aliamza kwa kubadilisha jina la RTD kwenda TBC kisha akafungua TBC, TBC2, alitaka kuendelea na TBC3,.....TBC FM, nk. Wapo watu wasiona mbali ndani ya Chama na serikali.
Kwa Sababu ya Interview ya Mayele.Azam ajiendae sana kupambana na hiyo Misukule.
Nani anailalamikia GSM na hersi?Mbona suala la uhusiano wa GSM na Rais wa Yanga na mkataba wa GSM unalikwepa?Hersi hawezi kuvaa kofia mbili kumwakilisha GSM na kuwa Rais wa Yanga.
Tatizo langu ni timing ya lalamiko lako.Post yako ya pili ndio imedhihirisha kwamba umelalamika kwa sababu ya interview ya Mayele.
Madudu mengi yanafanyika kwenye mpira wa Tanzania kwa kutokufuata weledi na kutofuata natural justice.
Unajua Mkataba wa GSM na TFF kwanini umefanywa siri?Unadai makosa 2 hajafanyi moja liwe sawa sasa kwanini tusahihishe moja na kuacha lingine?
Shida ni viwango vidogo vya elimu vya watendaji wa Azam. Itabidi waende wakasome namna Dstv na super sport FC zinavyokaa kwenye ligi ya SA, kule hakuna upuuzi huu tunaouona. Yaani Dstv kuihukumu mamelodi kwakuwa mamelodi anaifunga super sport FC kwa miaka 4 mfululizo.Unamuuliza mambo magumu sana haya mkuu.