Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

Yawezekana wewe ndio hauoni mbali TBC ni chombo Cha serikali tokea lini serikali ikafanya biashara

Tunazungumzia DStv na Star times
Nyoooo! Kwani TBC Radio inatangaza ligi bure? Kwani pale TBC1 tv huoni matangazo ya biashara yakifanywa? Husikii matangazo ya Rungu super maX na mengine ya cherekochero? Kama hujui Kaa kimya mgosi.
 
Kinachonikera upande wa AzamTv ni kutokuwa fair inapocheza Azam sports. Kuna matukio ya utata yakifanywa na Azam sport hayarudiwi kuonyeshwa ili watazamaji waweze kuona kwa usahihi. Mf offside inayoifaidisha Azam.
 
Kinachonikera upande wa AzamTv ni kutokuwa fair inapocheza Azam sports. Kuna matukio ya utata yakifanywa na Azam sport hayarudiwi kuonyeshwa ili watazamaji waweze kuona kwa usahihi. Mf offside inayoifaidisha Azam.
WANAHITAJI KUFUNDISHWA KOZI YA INTEGRITY NA CONFLICT OF INTEREST, VINGINEVYO MKATABA HUU UVUNJWE MARA MOJA.
 
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.

Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini ligi na mahaba Yao kwa timu Yao ya Azam FC, Simba na Yanga. Hawana miiko inayotenganisha kati ya udhamini n mahaba (conflict of interest). Watendaji sio mature enough kwenye kazi hii ya udhamini. Wanaweza kutumia uandishi na udhamini wao kuibomoa timu wasiyoipenda au yenye ushindani na timu Yao ya Azam au timu nyingine wanayoishabikia. Mifano ni mingi sana ya kuthibitisha hili.

Lazima Dstv na Star Times waangalie namna ya kuingia kwenye kuomba kandarasi hii au TFF itoe miongozo kwa Azam media.
Azam imebadilisha sura na thamani ya ligi ya Tanzania kuliko hata TFF walichofanya kwa miaka yote...DSTV wamewekeza zaidi kwenye content za nje, star times haina vision kabisa ya kwamba inataka kwenda wapi aada ya kupenetrate soko la Africa...Mungu ibarii sana Azam izidi kuwepo nasisi Ligi yetu itazamwe nchi za nje.
 
Back
Top Bottom