Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

Yawezekana wewe ndio hauoni mbali TBC ni chombo Cha serikali tokea lini serikali ikafanya biashara

Tunazungumzia DStv na Star times
Nyoooo! Kwani TBC Radio inatangaza ligi bure? Kwani pale TBC1 tv huoni matangazo ya biashara yakifanywa? Husikii matangazo ya Rungu super maX na mengine ya cherekochero? Kama hujui Kaa kimya mgosi.
 
Kinachonikera upande wa AzamTv ni kutokuwa fair inapocheza Azam sports. Kuna matukio ya utata yakifanywa na Azam sport hayarudiwi kuonyeshwa ili watazamaji waweze kuona kwa usahihi. Mf offside inayoifaidisha Azam.
 
WANAHITAJI KUFUNDISHWA KOZI YA INTEGRITY NA CONFLICT OF INTEREST, VINGINEVYO MKATABA HUU UVUNJWE MARA MOJA.
 
Azam imebadilisha sura na thamani ya ligi ya Tanzania kuliko hata TFF walichofanya kwa miaka yote...DSTV wamewekeza zaidi kwenye content za nje, star times haina vision kabisa ya kwamba inataka kwenda wapi aada ya kupenetrate soko la Africa...Mungu ibarii sana Azam izidi kuwepo nasisi Ligi yetu itazamwe nchi za nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…