Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwa upande wako sio mtangazaji bora kana kwamba kuna reaserch umefanya popote ukapata maoni ya wengi.Ghalib Mzinga ni mtangazaji bora kabisa wa mpira upande wa Tv.
Wengine wanapenda mtu anae tangaza kama robotiSio kila mtu atangaze na kuelezea kama mzinga, to me mpenja anajua kutangaza na ninapenda vibe lake la utangazaji.
Hawajui wakazi wa umalila tunavyopata raha Baraka akianza kutaja mitaa yetu ile, wakae kwa kutulia.Wengine wanapenda mtu anae tangaza kama roboti
Ila watu wana wivu sana na mpenja.Wengine wanapenda mtu anae tangaza kama roboti
mpenja akasome kwa Gharib Mzinga sio unashabikia kelele tu bila content sawa anachangamsha game so baada ya hapo umepata kitu gani kngne tofaut na kelele hzo ...ukimsikiliza Gharib Mzinga unapata vitu vingi mkuuTuachieni mwamba wetu wa umalila. Azam media hawajakurupuka tu kumpa mechi nyingi yeye kuliko jamaa yenu Ghalib, mkitaka hizo mnazoziita fact subirini akipangwa Ghalib
Ukitaka content wafuatilie football analyst, ikumbukwe Baraka ni football commentator kazi yake kubwa kuripoti matukio yanayoendelea wakati huo wa mchezo hayo mambo ya historia,sijui ukanda mara huyo mchezaji bibi yake alipigana vita ya majiamaji pale sio mahala pake, Baraka is on his prime let him shine Aiseee.mpenja akasome kwa Gharib Mzinga sio unashabikia kelele tu bila content sawa anachangamsha game so baada ya hapo umepata kitu gani kngne tofaut na kelele hzo ...ukimsikiliza Gharib Mzinga unapata vitu vingi mkuu
Yuko clouds+ siku hizi.Adrian Stepp waonyeshe hii jamaa kama wapo hapo ofisini
Sawa kiongozi wa vita vya majimaji ...sasa mkuu naomb nikuulize swali dogo tu tofauti ya mpenja na mzinga ni kelele au kueleza matukio yanayotokea uwanjani? maana wote wanaelezea matukio yanayotekea uwanjani au tofauti ni uwasilishaji ,au mwingne ni pilipili kali na mwngne ni pilipili hoho !!!Ukitaka content wafuatilie football analyst, ikumbukwe Baraka ni football commentator kazi yake kubwa kuripoti matukio yanayoendelea wakati huo wa mchezo hayo mambo ya historia,sijui ukanda mara huyo mchezaji bibi yake alipigana vita ya majiamaji pale sio mahala pake, Baraka is on his prime let him shine Aiseee.
Aisee kumbe na yeye kasepa 😀Yuko clouds+ siku hizi.
Mwaka Jana Kuna kipindi Cha clouds+ Cha mida ya mchana niliku Namuona anachambua mada mbalimbali, nadhani atakua bado huko mkuu.Aisee kumbe na yeye kasepa 😀
Hawezi kufungiwa yule yaan mwenyekit ajifungie umesikia wapi jamaa anajuwa alfu Ni mwalim mzur wa sheria za ngumi anajuwa had Ana kera Mr mkarafuuYule refa wa pambano la mandonga alipuyanga na tayari ameshafungiwa
Haiwezekani mandonga aangushwe chini na clear punch halafu anamuacha aamke bila kumhesabia
Mandonga alimsukuma mpinzani wake akaanguka chini huyo refa akaenda kumhesabia
Inawezekana jamaa ni mtaalamu ila aliamua makusudi kufanya yale madudu
Yule refa wa pambano la mandonga alipuyanga na tayari ameshafungiwa
Haiwezekani mandonga aangushwe chini na clear punch halafu anamuacha aamke bila kumhesabia
Mandonga alimsukuma mpinzani wake akaanguka chini huyo refa akaenda kumhesabia
Inawezekana jamaa ni mtaalamu ila aliamua makusudi kufanya yale madudu
Nimeshangazwa mno kuona Patrick Nyembera ambaye namjua ni Mdau mkubwa wa Mpira wa Miguu tu tokea akiwa EAtv kupewa Kutangaza Mchezo wa Masumbwi ambao kiukweli hana Ufahamu nao.Amani iwe nanyi.
Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao.
Niipongeze kampuni ya Azam Media katika juhudi zake za kufufua michezo ya mpira,ndondi n.k ila inatakiwa ishirikiane na vyama vya michezo husika katika kuwapa elimu hawa watangazaji wao kina Baraka Mpenja,pascal kabombe,iddi salum,hashim ibwe,patrick Nyembera n.k kuhusiana na michezo wanayoitangaza.
Kama mtangazaji anatangaza kuhusu masuala ya mpira mathalani mechi basi awe na elimu ya awali kuhusiana na mpira na si kutangaza tu fulani kachukua boli kampa yule, mayele katetema, sakho kanyunyiza n.k
MaJuzi kuna tukio lilitokea kwenye boxing katika mechi ya Mandonga dhidi ya Salum Abeid, Mandonga aliangishwa chini ,Refa akawa anamtoa mpinzani wa mandonga asiendelee kumshambulia mandonga akiwa chini.Huku watangazaji wakawa wanapayuka kuwa refa hafai ,afungiwe n.k kwanza katika ethics za utangazaji huwezi kusema refa afungiwe kwasababu huna mamlaka hayo. Tunaona blunders zikifanywa na marefa wa Epl ila huwezi kumsikia mtangazaji kama Peter Drury akipayuka kuwa marefa wafungiwe n.k.
Hivyo basi kampuni ya Azam Media ihakikishe watangazaji wake wanapatiwa elimu juu ya michezo wanayoitangaza kabla hawajashika microphone au wahakikishe kuwa wanaweka mtangazaji namba mbili ambaye atakuwa akisaidiana na hawa watangazaji kuchambua aspects of the game kama sheria, masuala ya kimbinu n.k. kama wanavyofanya katika mataifa yaliyoendelea kimichezo huko ulaya na America.
Mechi za ulaya hutangazwa na watangazaji wawili , wa kwanza huwa ni mtangazaji wa kawaida ila mtangazaji wa pili ni lazima awe alicheza soka la kulipwa au ana taaluma ya ukocha mfano mzuri ni Andy Townsend anayefanya uchambuzi wakati mechi inaendelea. Ina maana ana uwezo wa kuelezea mabadiliko ya kimbinu yanayofanywa na makocha n.k
Hata katika boxing/basketball lazima wawepo watangazaji ambao walikuwa ni wachezaji hapo kabla au makocha. Mfano mzuri ni combination ya Jesse john na marehemu Mwalimu Kashasha.
Ni hayo tu.
Well said.Amani iwe nanyi.