AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

Tuachieni mwamba wetu wa umalila. Azam media hawajakurupuka tu kumpa mechi nyingi yeye kuliko jamaa yenu Ghalib, mkitaka hizo mnazoziita fact subirini akipangwa Ghalib
 
Tuachieni mwamba wetu wa umalila. Azam media hawajakurupuka tu kumpa mechi nyingi yeye kuliko jamaa yenu Ghalib, mkitaka hizo mnazoziita fact subirini akipangwa Ghalib
mpenja akasome kwa Gharib Mzinga sio unashabikia kelele tu bila content sawa anachangamsha game so baada ya hapo umepata kitu gani kngne tofaut na kelele hzo ...ukimsikiliza Gharib Mzinga unapata vitu vingi mkuu
 
mpenja akasome kwa Gharib Mzinga sio unashabikia kelele tu bila content sawa anachangamsha game so baada ya hapo umepata kitu gani kngne tofaut na kelele hzo ...ukimsikiliza Gharib Mzinga unapata vitu vingi mkuu
Ukitaka content wafuatilie football analyst, ikumbukwe Baraka ni football commentator kazi yake kubwa kuripoti matukio yanayoendelea wakati huo wa mchezo hayo mambo ya historia,sijui ukanda mara huyo mchezaji bibi yake alipigana vita ya majiamaji pale sio mahala pake, Baraka is on his prime let him shine Aiseee.
 
Sawa kiongozi wa vita vya majimaji ...sasa mkuu naomb nikuulize swali dogo tu tofauti ya mpenja na mzinga ni kelele au kueleza matukio yanayotokea uwanjani? maana wote wanaelezea matukio yanayotekea uwanjani au tofauti ni uwasilishaji ,au mwingne ni pilipili kali na mwngne ni pilipili hoho !!!
 
Hawezi kufungiwa yule yaan mwenyekit ajifungie umesikia wapi jamaa anajuwa alfu Ni mwalim mzur wa sheria za ngumi anajuwa had Ana kera Mr mkarafuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Refarii alikuwa sahihi sana, isipokuwa yule bondia hajui sheria vizuri

Pale alipomuangusha Mandonga alitakiwa akasimame kwenye neutral corner ampe uhuru refa wa kumhesabia Mandonga lakn badala yake akawa anaendelea kumzonga zonga Mandonga kama anataka kumtwanga punch nyngne hv ndipo refa akatumia muda mwng kumblock na kumuelezea kwamba aondoke pale aende neutral corner wkt huo huo Mandonga akaendelea kurecover mpk akasimama

Hii pía ilishatokea kwenye pambano la Dulla Mbabe vs Twaha Kiduku
Dulla alimuangusha Kiduku badala aende kwenye neutral corner akawa anazengea zengea eneo lile lile, hvyo refa akatumia sekunde kadhaa kumfata na kumkumbusha kwamba aondoke pale ili akamhesabie Kiduku wkt huo Kiduku akaendelea kurecover

Bw Chaurembo kavunja pambano la Mandonga kwa mihemko sana
 
Naunga mkono hoja kuna mapungufu mengi sana, hata wale camera man wajitahidi kuvaa reflector sio kuvaa kawaida kama watu wengine
 
Nimeshangazwa mno kuona Patrick Nyembera ambaye namjua ni Mdau mkubwa wa Mpira wa Miguu tu tokea akiwa EAtv kupewa Kutangaza Mchezo wa Masumbwi ambao kiukweli hana Ufahamu nao.
 
Well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…