Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Star tv na rfa waliteseka sana enzi za magufuli hadi mmiliki kidogo afe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuikosoa serikali wala siyo Tatizo. Tatizo kubwa ni kuficha maovu ya serikaliAzam toka kipindi cha JPM, jamaa hawatakagi shida na serikali, hutasikia siku wameiokosoa serikali toka wakati wa JPM hadi leo
Hao shida kubwa ilikuwa ukwepaji kodiStar tv na rfa waliteseka sana enzi za magufuli hadi mmiliki kidogo afe.
Anzisha TV Station yako halafu kutwa kucha utupigie nyimbo zetu pendwa Wana CCM za Kapteni Kombat! Nyau weweee!!!Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya.
Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku wakisingizia matatizo ya kiufundi kwa nini habari zote ambazo zinakuwa mwiba kwa serikali mnakuwa mnakata kata matangazo yenu ni kwa faida ya nani. Mnahabarisha nini? Uhuru wenu wa kuhabarisha na weledi uko wapi?
Mnaleta sababu za ajabu ajabu mnafikiri kiila mtu ni mjinga mjinga. Mbona RFA hawana huo utoto habari zote tunazisikia bila kuchakachuliwa. Tutaamni vipi hata habari zenu za ndani mnazoripoti kama hamzipiki?
Nimefuatilia pia Mara zote Dk slaa
Anapokuwa anahojiwa na DW kuhusu sakata la bandari lazima Azam media wakate matangazo.
Mahojiano yakiisha wanarudi huu ni ukenge na uhuni, si ajabu watu wanawatuhumu mmelalia udini udini kwenye hiyo media yenu kama vipi mchukueni na kitenge ng'ombe kabisa.
ndo matatizo ya afya ya akili mliyonayo wafiadini badala ya kujibu hoja unaleta mihemko isiyo na tija, nitajie,hospital,shule na vyuo ,vilivyo jengwa na tasisi yenu.kingine nitajie teknojia iliyobuniwa na mwarabu na inaisaidia dunia zaidi ya kuleta dini inayotugawa na kuleta machafuko dunianiwe tuoneshe iliyobuniwa na mamaako inavyoisaidia dunia