AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

Aisee umeongea kitu cha maana Sana. Hivi running track zina kazi gani aiku hizi?

Running tracks sioni umuhimu wake. Kwanza ni kunyima mashabiki waliofika viwanjani fursa ya kuona vizuri kwa ukaribu mechi

Mechi za kimataifa? Mbona kama uefa huw inapigwa kwenye viwanja visivyo na running tracks?

Runing track ndio zibgesaidia camera
Man kupata eneo zuri


Hoja yenu haina mashiko

Point yangu mimi kuna umuhimu gani hao watu wa azam kukaa huko majukwqani na camera zao mpaka picha zinakuwa ndogo wachezaji wanakuwa kama sisimizi kwenye runinga


Angalia hiyo screenshoot hata mechi za CAF huwa wanaweka hapo camera
 
Waulize TFF je ni kwa Nini walimpa mkataba wa miaka 10? Je walijiridhisha hao Azam wanaweza?!
 
Mkuu kwa ligi yetu hawezi tia pesa nyingi kununua izo kamera za kisasa na drones,haiwezi mlipa.
 
Mkuu kama vipi embu waombe TFF wakupe angalau msimu mmoja tu uoneshe boli kama lile la EPL! Ukifanya hivyo, Azam atajirekebisba tu!
 
Acha uongo

Wewe unaongelea jambo ambalo hauna ufahamu nalo kabisa.

Camera za juu lazima ziwepo na ndiyo main cameras zinazotumika kuonyesha mpira na michezo mingine dunia nzima. Hauwezi kuweka main cameras chini huko unapotaka wewe. Camera za chini hata Azam wanazo na wanatumia na zinatumika kuonyesha nyongeza ya matukio ya mpirani kwa ukaribu zaidi, mfano wakati mpira unarushwa, kumuonyesha kocha, nk.

Hoja ya running tracks ni kwamba siyo tu watazamaji wanapata kuona mpira kwa ukaribu zaidi lakini hata hizo camera za juu nazo zinakuwa zimesogea karibu zaidi ya uwanja na kupata hiko unacholilia. Kutokuwepo running tracks hakuzuii kuwepo kwa camera za chini.

Halafu inawezekana watu kama nyie ndiyo mpo serikalini watoa ushauri halafu unaonyesha level hii ya kutokuwa na ufahamu.
 
Aisee mi mwenyewe nimeshangaa sana mtu hana exposure kabisa na mambo haya ni mtupu kabisa.
 
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    24.1 KB · Views: 1
HaHa
Hahah mkuu umelalamika Sana
 
Wanajitahidi sana Azam kwenye quality ya Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…