Wakuu Igweeeeee.
Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha Kuhakikisha Azam Media anauza zaidi haki za Matangazo na kuzuia timu kupata viingilio vya Milangoni kwenye Viwanja hasa Uwanja wa Mkapa.
Tarehe 26/12/2021 YANGA vs BIASHARA ni siku ya Mapumziko yaani BOXING DAY unapangaje hii mechi ichezwe Usiku saa 1??? Kama siyo Hujuma ni nini? Kwanini? Ili tusije na familia usiku tubaki kununua Ving'amuzi vyenu??? Ili timu ikose Hamasa?? Lengo ni nini?? Ni Hujuma tu hakuna kingine ili mdhamini wenu afanye biashara zake.
Tarehe 01/01/2022 Simba vs Azam ni Siku ya Sikukuu kwanini Mechi ichezwe saaa 1 Usiku???? Sababu mnaijuaa mkiweka mechi saa 9 au Kumi jioni Uwanja Utajaaa pomoni Simba itafaidi Viingilio na Azam Media atakosa watazamaji kadhaaa. Sasa sisi Walaji wa soka tutaenda FAIR COMPETITION tumechoka kukabwa usiku tukitoka kwenye mechi muhimu. Tunataka timu zetu kubwa msizileteee huuu uhuni. MPIRA NI BURUDANI msitulazimishe kuangalia mpira kwenye Luninga matangazo yenyewe na mvua hizi picha kimeooooooo!
Nawaambia hili siyo lazima BaaaBraaa aingilie kati! JF Members tupaze sauti huuu uhuni ukome!