Azam Media yapata haki za kuonesha Ligi Kuu ya Hispania

Azam Media yapata haki za kuonesha Ligi Kuu ya Hispania

JANA JION katika officia page facebook ya mtangazaji na mchambuzi makini wa soka nchini Tanzania Edo Kumwembe ameweka bayana kuwa msimu huu mechi zote za La Liga zitaoneshwa Live na AZAM Tv, EPL mapambano yanaendlea
Hii ni hatua njema kwa wapenda kabumbu tanzania........
Pongezi kwa AZAM Tv
 
Mhh napata mashaka na Azam TV, wasije onesha mechi dhaifu tu. Madrid, Barcelona, Valencia na atletico Madrid tutazisikia tu redioni
 
Bei zake hazitashikika tena! itacheza 70 au 80 kwa mwezi
 
Kuna watu walikatisha tamaa sana baada ya Azam TV kuonesha nia hiyo ya kurusha matangazo ya La liga na EPL wakidai eti hawana uwezo. Natamani kusikia kutoka kwao
 
hullaaaaa sasa nauza changu cha azam nanunua cha Azam tv burudani kwa wote
 
Dstv inaelekea kaburini kwa hapa bongo. Hongera Sana azam watanzania tutakusapoti.tunajivunia chombo hiki cha habari kuwa hapa Tanzania.
 
Bye bye dstv, kunitoza 230,000 kwa extra view ni wizi wa mchana, premierleague nita-livestream.
 
Dstv nimewachukia saana hala hala azam tv tuwasusie hawa makaburu
 
Ombi kwa uongozi wa azam: Watu wengi hapa wameonyesha nia ya kuhama toka dstv kwenda azam. Kwa hiyo waruhusiwe tu kununua dikoda za azam wabakie na kazi ya kubadilisha mwelekeo wa madishi.
 
Pamoja na jitihada zote hizi lkn Azam tv walishindwa kutuonesha mashindano ya AFCON ambayo naamini kibari chake ni rahisi zaidi kuliko LA LIGA.
 
bein sport laki 450,000/ kwa mwaka mechi zote duniani sasa sijui azamtv kuna chanel za kifaransa wanaotumia Rwanda na burundi wanalipa elfu 26,000/ kwa mwezi mechi zote duniani
 
Hawataonesha mechi zote.. hapo ni mechi moja kwa wiki tena zile kubwa kama El Clasico sijui
 
Back
Top Bottom