Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Fidia ya nini wakati ni haki yao na wametiza haki za club

Hivi nyie mbumbumbu mna shida gani vichwani?

Mkataba utauvunjia getho bila mwajiri kuzungumza nae

Yan kesho madaktari Tanzania waamue wavunje mkataba itakuwaje afya za wagonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dahhh hivi kichwa kumejaa kamasi au
 
Hilo alikua sahihi lakini kulingana na kanuni za TFF za kichampionship 2021 kanuni ya 74, TFF ndio msimamizi wa mikataba hivyo kama unataka kuvunja wao washirikishwe, Feisal hakufanya hivyo hapo ndipo walipo mkamata.

Lakini wewe huelewei, kwasababu nimeeleza yote haya na nimeyarudia lakini umekaza fuvu tu
Ila kuna scenario nyingi za kisheria, unakuta mtu anattempt kesi fulani,ila kuchemka kwake inatokana na kutokufuta sheria na taratibu, so akikutana na mwanasheria mzuri akamuelezea mapungufu yake then anakata rufaa na kushinda hiyo kesi.

Sasa kwanini Fei baada ya kugundua alishindwa sababu hakuwa shirikisha TFF,kwa nini hasingefuata hizo procedure na kushinda hilo swala lake na Yanga.

Wale wanasheria wapo vizuri na wanapractise kila siku.Wewe ndiye unakaza fuvu ina maana ww na hao wanasheria wa TFF wakina nani wanajua? Tena mara tatu Fei kachemka.
 
Rudi usome #42
 
Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2!

Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba ni jambo la ovyo sana!

Lilitokea kwa Feisal na watu wa ovyo ambao hawakujua ni kitu gani kinatengenezwa wakawa wanaunga mkono ujinga ule matokeo yake kilichofanyika ndio kinakwenda kufanyika Tena kwa Prince Dube!

Tuliwaonya Azam juu ya kile walichokifanya kwa Feisal Salum kumrubuni na kutumia njia za hovyo kumpata akiwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na nusu lakini walitetewa na mchezaji alipata watetezi wapuuzi wapuuzi waliokuwa na maslahi na upande ule, sasa basi leo hii kile kile kimewakuta kwa mchezaji ambae bado ana mkataba mrefu kuandika barua ya kuvunja mkataba!

Kwa juu juu unaweza Kuona Kama ni jambo la kawaida lakini nyuma ya Prince Dube Kuna msukumo wa ushawishi Kama ilivyokuwa kwa Feisal, Kuna kisasi kinataka kulipwa hapa kwa njia zile zile na kwa muktadha ule ule!

Na jambo hili litaendelea kwa wachezaji wengine na wengine kwakuwa njia ya kufanya ivyo aliitengeneza Azam mwenyewe hivyo basi wasiweke ugumu wowote kumuachia na michango ya kuvunja mkataba wake tutatoa Kama ilivyokuwa kwa feisal tuwekewe tu account ya bank tuanze mdogo mdogo kuzichanga!
Hiyo barua ya dube iko wapi tupia tuone
 
We unadhani akina Mbappe dau wanaloahidiwa na Madrid miaka yote hiyo anaahindwa ku deposit mkwanjwa kww account ya psg akasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu inaweza mfata mchezaji au mmiliki wa mchezaji. Ikiamua kumfata mchezaji basi ijiandae kumpa fedha ambazo mmiliki wake atazitaka ili mkataba uvunjike, Azam wameonyesha inavyopaswa kuwa.

Ulaya wachezaji wanaruhusiwa kuvunja mikataba yao.
Ila sio wakati msimu unaendelea. Hiyo ndio kanuni kuu ya kuvunja mkataba wa mchezaji wa mpira wa miguu. Mkataba wa mpira sio kama wa kupanga chumba kule Kinyerezi!
 
1. Fei na Dube wote maboss zao ni vilabu vyao. Walisaini mikataba na vilabu vyao. Wanamilikiwa na vilabu vyao.

2. Fei na Dube wote wana haki ya kuvunja mikataba yao wenyewe bila kutakwa na vilabu vingine vya mpira.

3. Fei na Dube wote wanapaswa kufuata masharti ya exit clause ili waweze kuvunja mikataba yao.

Sasa, Azam wao wameweka wazi ili uondoke lipa kiasi hichi. (HII NI OPTION KWA MCHEZAJI KUVUNJA MKATABA WAKE MWENYEWE)

Yanga wao walichofanya ni kumpa option 3.
Ya kwanza Timu inayomtaka ije.(Hii option haimpi mchezaji haki ya kuvunja mkataba wake mwenyewe)

Ya pili akubali mshahara mpya(Hii ni option ya kumbakisha sehemu ambapo hapataki)

Ya tatu amalizie mkataba wake( Hii option haimpi haki ya kuvunja mkataba wake)

Embu niambie boss, tusipoelewana ni wapi?
Hizi option 3 mwenzetu umezitoa wapi? Ina maana hukusikia dola laki 5 za bei ya Fei?
 
Tukisema Jemadari Said ni Kanjanja anatetewa. Haya ajitokeze atetee maslahi ya Dube aondoke bure Azam maana amechoka maisha ya Chamazi. Huu nao ni uhuni kama uhuni mwingine. Nasubiri Jemadari mtetea Wahuni ajitokeze.
Jamaa anatudharirisha sana sis wenye vichwa vikubwa kama mitungi..
 
Ila sio wakati msimu unaendelea. Hiyo ndio kanuni kuu ya kuvunja mkataba wa mchezaji wa mpira wa miguu. Mkataba wa mpira sio kama wa kupanga chumba kule Kinyerezi!
Hata kati ya msimu inawezekana ila kuna consequences zake.
 
Fidia ya nini wakati ni haki yao na wametiza haki za club
Fidia au tuiite gharama ya kuvunja mkataba.
Hivi nyie mbumbumbu mna shida gani vichwani?
Punguza mihemko ngaramtoni.
Mkataba utauvunjia getho bila mwajiri kuzungumza nae
Gheto ni nini? Suala hapa ni kuwa mkataba unaweza kuvunjwa.
Yan kesho madaktari Tanzania waamue wavunje mkataba itakuwaje afya za wagonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kusikia madktari wa nchi fulani wamegoma?
 
Ila sio wakati msimu unaendelea. Hiyo ndio kanuni kuu ya kuvunja mkataba wa mchezaji wa mpira wa miguu. Mkataba wa mpira sio kama wa kupanga chumba kule Kinyerezi!
Utawaweza hawa mbumbumbu
Yani mchezaji matakwa ya mkataba yanatimizwa na timu mchezaji aamue kuvunja mkataba katikat ya msimu
Team itapata wapi mchezaji wa kuchukua nafasi katikat ya mashindano

Yaan leo mcezaji kama Halaand aweke pesa kwenye account ya Man City eti ameamua kuvuja mkataba na timu inamtimizia matakwa yote

Huku Tanzania wajinga ni wengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dube ameyakanyaga ayamywe.
Furaha yake ilikuwa kuikamia Simba tu basi.
Kwenye CAF anazidiwa magoli hata na Chama ambaye sio mfungaji.

Kwenye Ligi yetu hayupo hata tatu Bora ya wafungaji.
Amalize miaka yake 6 hapo hapo Azam.
Mbaf zake
 
Kama mkataba wako unasema utafanya kazi masaa 10 kwa mshahara wa laki tano kwa miaka 5 na umeusaini halafu baadae ukagoma na unataka mshahara wa milioni moja tafsiri yake ni nini?
Kugomea mkataba unaotimiziwa matakwa ya mkataba ni uungwana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nasubiri kumwona yule dada Jasmin aliyewahi kuwasaidia Drogba na Eto achilia mbali Feitoto. Yupo wapi Fatma Karume? Au wanasaidia waZanzobar wenzao tu?
Chambuzi la nguvu Jemedari Mtipa na vifungu vyake vya FIFA ya Buza. Wapite njia ile ile !
 
Back
Top Bottom