PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Hakufata utaratibu wa mkataba. Ashukuru tu kauli ya Rais wa JMTHapana. Yanga walimwambia afuate utaratibu baada ya Fei kufuata utaratibu ambao Yanga hawakuafiki, ule wa kudeposit fedha. Baada ya hapo Fei hakujua ni utaratibu upi aufuate ndo makesi yakaanza na Yanga hawakusema wazi ni utaratibu gani wa kuufata. Azam wapo wazi kuwa lipa kiasi hichi.