PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Hakufata utaratibu wa mkataba. Ashukuru tu kauli ya Rais wa JMTHapana. Yanga walimwambia afuate utaratibu baada ya Fei kufuata utaratibu ambao Yanga hawakuafiki, ule wa kudeposit fedha. Baada ya hapo Fei hakujua ni utaratibu upi aufuate ndo makesi yakaanza na Yanga hawakusema wazi ni utaratibu gani wa kuufata. Azam wapo wazi kuwa lipa kiasi hichi.
Masharti yapi? Si ndio Fei alichokuwa anataka kuambiwa? Msingi wa kesi ya Fei ulikuwa ni AFANYAJE ILI AWE HURU. Umesahau?Yanga waliweka wazi kua atekeleze masharti ya kuvunja mkataba
Afanyeje? Wakati mpaka anadeposit pesa kiuni?Masharti yapi? Si ndio Fei alichokuwa anataka kuambiwa? Msingi wa kesi ya Fei ulikuwa ni AFANYAJE ILI AWE HURU. Umesahau?
Pitia #43 nimeelezaHakufata utaratibu wa mkataba. Ashukuru tu kauli ya Rais wa JMT
Utaratibu upi ambao Fei haujui na Yanga hawauesemi?Hakufata utaratibu wa mkataba. Ashukuru tu kauli ya Rais wa JMT
Mwanaume mwongo haipendeziNasikia Feisal anamroga sana dube kwaio jamaa kaona atafia hapo sio kwa misumari ya fei
Alideposit akaambiwa huo si utaratibu. Akauliza utaratibu ni upi ndo makesi yakaanza.Afanyeje? Wakati mpaka anadeposit pesa kiuni?
In summary umeelezea tu kwamba Fei hakufuata mkataba.Pitia #43 nimeeleza
Niambie hapa final aliondoka kwa kigezo kipi cha mkataba?Utaratibu upi ambao Fei haujui na Yanga hawauesemi?
FEI ALIOMBA MUONGOZO KUWA AFANYE NINI AONDOKE, ALIVYOSHINDWA NDANI AKAENDA NJE KWA JAMBO HILO HILO LA AFANYE NINI AONDOKE NDO RAISI AKAINGILIA.
Unatetea tu. Lakini huu wote ni uhuni tu.Alideposit akaambiwa huo si utaratibu. Akauliza utaratibu ni upi ndo makesi yakaanza.
Azam hawajagoma wamesema anunue mkataba wake wakae mezani,ishu ya Feisal Yanga walimgomea hadi rais kuingilia kati,Azam hawana shidaWale watetezi waliojitokeza wakati wa Feisal mbona wapo kimya hawasemi lolote?
Kwani Dube hana haki?
Vigezo vile vile ambavyo havikuwekwa wazi Fei avifuate. Unadhani kuna jipya lililotokea? Mambo ni yale yale yalitumika.Niambie hapa final aliondoka kwa kigezo kipi cha mkataba?
Hakuna uhuni wowote. Hakuna mkataba usiovunjika. Hii si biashara ya utumwa. Kila mkataba una exit clause.Unatetea tu. Lakini huu wote ni uhuni tu.
Yanga walikuwa wanasema anayemtaka aje mezani,hawampi avunje mkataba,na walikuwa wanafanya vile makusudi maana siyo kipindi cha usajili ili mtu aliyemwekea hela feisal akijitokeza wamshitaki,sasa nani atajitokeza kipindi hichoIle kauli ya afuate matakwa ya mkataba unadhani maana yake nini? Kwani Yanga walipokuwa wanawaambia mfuate mkataba mlikuwa mnasema nini??
KizimkazWale watetezi waliojitokeza wakati wa Feisal mbona wapo kimya hawasemi lolote?
Kwani Dube hana haki?
Mkuu mbona mkataba wa kifo auvunjiki(Jokes).Hakuna uhuni wowote. Hakuna mkataba usiovunjika. Hii si biashara ya utumwa. Kila mkataba una exit clause.
Wewe unazani Yanga walimng'ang'ania Fei? Yanga walicho lalamika ni taratibu kutokufuatwa.Lakini Azam hawaja mng'ang'ania Dube wamemuambia afuate taratibu za kuvunja mkataba ili awe huru.