Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Wewe kama unabisha bisha,ila Dube kapigiwa simu kocha kuwa anamuhitaji mazoezini, Dube hajaonekana ndipo viongozi wakamtafuta na Source nimekiweka kama unabisha endelea kubisha,ila haibadilishi chochote.
Azam wapo clear, hawajataka porojo. Wamepokea barua, wametoa dau, wanasubiri chao, na mchezaji hawamtaki tena wanataka pesa. Yaani hakuna kuzungushana. Sasa Dube asipolipa hapo ndo matatizo.
 
Tatizo lipo wapi kwani hilo ndio tatizo la kwanza kwenye mpira Tz. Mpira wa Tz ni wa masela na unaenda kiselasela.
 
Tatizo lipo wapi kwani hilo ndio tatizo la kwanza kwenye mpira wetu. Mpira wa masela unaenda kiselasela.
Hakuna tatizo, ni kwamba Azam wapo straight. LETA PESA, NENDA. Ts business.
 
Ndio hivyo kishasusa na mazoezini haendi mwendo wa kiselasela labda hekima na busara kutoka kwa mwanasiasa zimuokoe maana swala la taratibu kwenye mpira wa bongo halipo. Kaenda kwao kula ugali na sukari.
 
Azam wanachotaka ni fedha. Wameshasema. Isipolipwa ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom