Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 689
- 1,096
Habari za jioni,
Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa popote nje ya nyumbani. Adha ninayoipata najuta kutumia mda wangu kufika Mgodini na kumaliza bando langu kupakia hiyo App. Yani inasumbua hataree, nikaona nifike ofisi yao pale Livingston/ na Uhuru.
Cha ajabu hata wafanya kazi wao nao hawajui chochote kuhusu changamoto za hii APP. Nimepoteza mda wangu zaidi ya masaa ma2 bila mafanikio, na kukuta wateja zaidi ya 20 nao changamoto ni hiyo hiyo, na hata wafanyakazi wao nao hawajui lolote . Yani nilichokiona ni upuuzi mtupu kuhusu matangazo yao kibao kuhusu AZAM MAX. naomba karibuni kuwa makini na kazi zenu.