Azam msimlaumu mtu, mmewakaribisha Yanga Chamazi uwanja umeshaoza huo, na bado

Azam msimlaumu mtu, mmewakaribisha Yanga Chamazi uwanja umeshaoza huo, na bado

yanga anajua sana.

yanga anafanya mpira kuonekana rahisi na ni uchawi

Yanga kiukweli anajua sana.

Yanga anajua akikutana na timu zaifu.

Akijutana na timu bora anapata aibu ya karne.


Ngoja timu zaifu zitoke aje Akutane na zile timu kubwa Africa utakuja kusema hapa kama anajua au anaungua na jua tu pale jangwani.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom