…ni kwasababu wana mkwanja mrefu na wa uhakika, otherwise Azam ni timu ya mashindano ya Ramadhani Cup.Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na kujipatia pts 3 na magoli meeengiiii yaliyosababisha kuishinda Simba kwa magoli kwenye msimamo wa ligi.
Azam ilifungwa na wydad goli nyingi, ikaifunga Lyon sports kwa shida kagoli kamoja, ikafungwa na Yanga kwa goli nyingi, ikaifunga coastal kwa shida na kuifunga APR kagoli ka kubahatisha. Benchi la ufundi hili halina uwezo mkubwa bhana.
Fukuzeni muanze upya.
Aiseee, watu mba majibu hatari.Nadhani coach wa Azam
Yuko pale sababu ana sijida tu
Ila timu inacheza kama timu ya shule
Unaleta udini kwenye michezo,sijda yake haihusiana na nafasi aliyo nayo pale Azam fc...jaribu kuheshimu dini za watu.Nadhani coach wa Azam
Yuko pale sababu ana sijida tu
Ila timu inacheza kama timu ya shule
Coach Dabo hana mbinuUnaleta udini kwenye michezo,sijda yake haihusiana na nafasi aliyo nayo pale Azam fc...jaribu kuheshimu dini za watu.
Azam wanaiga uswahili wa Simba na Yanga ukimsikiliza Hashim Ibwe anaacheza mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu.Azam ni timu yenye wachezaji bora yenye mtizamo wa kitoto..APR Akicheza kwa nidhamu anamtoa.
Na ikitokea bahati mbaya akapita Pyramid atamdhalilisha sana.
Hayo ndiyo maneno anauwezo mdogo sana,haendani na wachezaji alionao pale kikosini.Coach Dabo hana mbinu
Ngoja ligi ianze acheze na Singida au coast
Wamekupa wachezaji wa maana anashindwa kuwatumia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha utani wa kweli.Nadhani coach wa Azam
Yuko pale sababu ana sijida tu
Ila timu inacheza kama timu ya shule
Hajui kupanga beki, Bangala hana kasi anapigiwa counter attack kila game ila hambadilishi,Hayo ndiyo maneno anauwezo mdogo sana,haendani na wachezaji alionao pale kikosini.
Mkuu, kipre mbona hayupo Azam..??Timu inabebwa na akamiko kucheza rafu na kuumiza wengine, Fei Toto na kipre kwa juhudi zao binafsi.