GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
KWa Bangala sawa,ila kwa Fei umeongea kama shabiki wa Yanga mwenye chuki na Feitoto.Hajui kupanga beki, Bangala hana kasi anapigiwa counter attack kila game ila hambadilishi,
Sidibe beki mzuri akipanda juu hao mabeki wa kati hawawezi kuziba upande wa juu.
Asimwamini sana fei hapo anaweza kucheza mwingine
Huyo fei Taifa stars yetu dhaifu huyo fei anaanzia benchi kwasababu hana ubunifu wa kucheza na striker ni mbinafsi mno, anamchezesha sababu ya presha kwasababu akitoka Yanga