Azam msione aibu kufukuza benchi la ufundi, timu haichezi vizuri

Ninyi wapendwa soka mkoo serious Sanaa na mafanikio ya Azam ila wao Azam Sasa🤣🤣Wala hawakoserious,hapa ndo tatizo linapoanzia.
 
Ninyi wapendwa soka mkoo serious Sanaa na mafanikio ya Azam ila wao Azam Sasa🤣🤣Wala hawakoserious,hapa ndo tatizo linapoanzia.
Akwambie usikombe mboga anakutakia mema, anataka ushibe. Yanga sasa hivi inaweza kucheza ligi ya Laliga na kuwa kwenye timu 10 Bora kwenye ligi japo haina uwanja Wala facilities walizonazo Azam
.
 
Akwambie usikombe mboga anakutakia mema, anataka ushibe. Yanga sasa hivi inaweza kucheza ligi ya Laliga na kuwa kwenye timu 10 Bora kwenye ligi japo haina uwanja Wala facilities walizonazo Azam
.
Hapo mzee umeongopa, Yanga iwe top 10 ya la liga sio jambo jepesi. Yanga ina timu nzuri ila sio kwa kiwango hicho ulichotaka kuaminisha watu
 
Hapo mzee umeongopa, Yanga iwe top 10 ya la liga sio jambo jepesi. Yanga ina timu nzuri ila sio kwa kiwango hicho ulichotaka kuaminisha watu
Mkuu labda huiangalii vizuri Yanga ikicheza na timu zinazoujua mpira, achana na hizi kamkumbe twende style ya akamiko na Mzamiru. Yanga ya gamondi sio ya ligi hii ya NBC, ndio maana timu nyingi zinafugwa goli 5, 4, 3. Inacheza kama play station kwenye uwanja mzuri.
 
Mkuu usiongee ukamaliza, mimi ni Yanga ila hatujafikia kujisifu kuwa timu inaweza kucheza la liga na ikawa top 10. Timu ya namna hiyo inatakiwa kwanza ijidhihirishe kwanza ubora wake ndani ya Africa kwa kucheza fainali ya klabu bingwa kisha ndio uende ukaiongelee huko ulaya. Bado kuna deni kubwa la kudhihirisha ubora ndani ya Africa na ndio kwanza msimu umeanza ila wewe unafanya assumption za ubora kama vile msimu umeisha. Labda kama unaongea kiunazi sawa ila sio uhalisia.
 
Ndio maana sijakwambia inachuku ubingwa la Liga. Halafu huo ni mtizamo wangu mm na ww unaweza kuwa na wako. Lakini hii timu iliitandika Belouzidad, ilitoka sare na Al-Alhly, iliitandika Simba, iliichapa mamelods ikapokonywa goli, iliichapa kaiser, ikatoka 2-1 na Augsburg, ikaitwanga Azam, bila kusahau mediama.
 
Nilisema Mimi, dabo dabo dabo!!!
 
Azam ilipokuwa inafukuza makocha nilitamani wamchukue uchebe aliyeijenga Simba ila hawakumuona leo yupo Singida bstars.......unaleta wachezaji unaowasifu ni bora na hawachezi kocha anauwezo mdogo sana wa kufundisha kabumbu.
Hata kama angeenda uchebe hilo ni sikio la kufa
 
Fei alikuwa anaibeba Yanga au Yanga ilikuwa inambeba Fei Toto?
fei toto sio mchezaji mzuri. akitoka nje ya Tanzania tu amna kitu. taifa stars pia ni useless player.

azam fc wafanye business mapema sana.
 
Ninyi wapendwa soka mkoo serious Sanaa na mafanikio ya Azam ila wao Azam Sasa🤣🤣Wala hawakoserious,hapa ndo tatizo linapoanzia.
Usaji wao haukuwa wa ligi ya NBC, itawalazimu kubaki na lijikosi hili kubwa na ghali mwaka mzima kwenye mechi za viwanja vya general Samuyo.
 
Watanunua marefa tu wakirudi kwenye hiyo ligi ya rushwa rushwa, na wataonekana bora.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…