Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
😂😂😂😂Mkuu pole kwa mkeka wako kuchanika
from UkraineUnateseka ukiwa wapi?
AlrightHiyo Azam ni kama kikundi cha wahuni tu.! Hamna cha maana wanafanya licha ya uwekezaji uliofanyika.
Kama mchezaji ana malengo makubwa,hawezi kuendelea kuchezea Azam.
Unaikumbuka mechi ya Namungo ? Mechi ile Yanga alizidiwa na kama si umakini mbovu wa washambuliaji wa Namungo basi Yanga angepoteza japo alipewa penati pia timu kama Azam inavyocheza inatia huruma tu tuwe wakweli hakuna timu ya ushindani kwa Simba na Yanga paleHiki ni kikosi kibovu kwa Yanga sawa,,, naomba uniwekee kikosi kizuri Cha Yanga na hicho kizuri Cha Azam..
Kama wachezaji hawahawa wa Yanga ndio wanaocheza siku zote na Timu haijawahi kufungwa Hadi roundi hii basi wewe utakuwa ni Tahira, mpumbavu, hujielewi tena na inawezekana na ukoo wako wote ukawa na sifa hizi
Tyu ndiyo nini Tena?Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare...
Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
Tatizo wanaendekeza Udini sanaaaa.Unaikumbuka mechi ya Namungo ? Mechi ile Yanga alizidiwa na kama si umakini mbovu wa washambuliaji wa Namungo basi Yanga angepoteza japo alipewa penati pia timu kama Azam inavyocheza inatia huruma tu tuwe wakweli hakuna timu ya ushindani kwa Simba na Yanga pale
Wanataka waweke wenzao katika imani halafu wategemee mafanikio.Tatizo wanaendekeza Udini sanaaaa.
Kwa mwaka huu Labda useme hakuna Timu ya ushindani kwa Yanga Ila Simba hii.. Timu imekung'utwa mara kibao ndani na nje ya Tanzania utaisifiaje ety Haina upinzani Hali ya kuwa inagongwa Kila kukichaUnaikumbuka mechi ya Namungo ? Mechi ile Yanga alizidiwa na kama si umakini mbovu wa washambuliaji wa Namungo basi Yanga angepoteza japo alipewa penati pia timu kama Azam inavyocheza inatia huruma tu tuwe wakweli hakuna timu ya ushindani kwa Simba na Yanga pale
Udini unaingiaje hapa,, kwani Azam hakuna Waislam, hakuna wasabatho, hakuna wakristo..?Tatizo wanaendekeza Udini sanaaaa.
Mjini Magharibi.Unateseka ukiwa wapi?