Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

Kwa mwaka huu Labda useme hakuna Timu ya ushindani kwa Yanga Ila Simba hii.. Timu imekung'utwa mara kibao ndani na nje ya Tanzania utaisifiaje ety Haina upinzani Hali ya kuwa inagongwa Kila kukicha
Hiki kikosi cha Yanga kingecheza na Namungo... Muhimbili leo ingekuwa bize
 
usharudi toka chooni?
 
Bila refa jana tungekuwa tunaongea mengine
 
Kuna mchezaji wa Azam jana kamsukuma kabisa refa kidevu chake halafu anacheka kizembe tuu wacha wafungwe hawana nia ya kuchukua kombe walau mwaka mmoja. Toka aondoke huko Bocco timu hainaga kitu
 
Kuna mchezaji wa Azam jana kamsukuma kabisa refa kidevu chake halafu anacheka kizembe tuu wacha wafungwe hawana nia ya kuchukua kombe walau mwaka mmoja. Toka aondoke huko Bocco timu hainaga kitu
mchezaji wa azam alkuwa na spedi mguuni
 
Ila azam maji tyu ndo hamjapandisha bei ila Chapati mtaani adim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…