Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

Kwa mwaka huu Labda useme hakuna Timu ya ushindani kwa Yanga Ila Simba hii.. Timu imekung'utwa mara kibao ndani na nje ya Tanzania utaisifiaje ety Haina upinzani Hali ya kuwa inagongwa Kila kukicha
Hiki kikosi cha Yanga kingecheza na Namungo... Muhimbili leo ingekuwa bize
 
Hiki ni kikosi kibovu kwa Yanga sawa,,, naomba uniwekee kikosi kizuri Cha Yanga na hicho kizuri Cha Azam..
Kama wachezaji hawahawa wa Yanga ndio wanaocheza siku zote na Timu haijawahi kufungwa Hadi roundi hii basi wewe utakuwa ni Tahira, mpumbavu, hujielewi tena na inawezekana na ukoo wako wote ukawa na sifa hizi
usharudi toka chooni?
 
Bila refa jana tungekuwa tunaongea mengine
 
Kuna mchezaji wa Azam jana kamsukuma kabisa refa kidevu chake halafu anacheka kizembe tuu wacha wafungwe hawana nia ya kuchukua kombe walau mwaka mmoja. Toka aondoke huko Bocco timu hainaga kitu
 
Kuna mchezaji wa Azam jana kamsukuma kabisa refa kidevu chake halafu anacheka kizembe tuu wacha wafungwe hawana nia ya kuchukua kombe walau mwaka mmoja. Toka aondoke huko Bocco timu hainaga kitu
mchezaji wa azam alkuwa na spedi mguuni
 
Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare...
Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
Ila azam maji tyu ndo hamjapandisha bei ila Chapati mtaani adim
 
Back
Top Bottom