Azam nao washamba na hilo basi lao

Azam nao washamba na hilo basi lao

Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Ukweli ni washamba mno

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Sasa kama Ligi hawachukui pamoja na Utajiri wao kwanini wasijiliwaze kwa Ubingwa wa kuwa na Basi lao?
 
Lile bus unganisha bus, tata na costa za vilabu vyote ndio unapata ile chuma. Mwacheni avimbe
 
Ukute huna hata baiskeli ila uko unapiga porojo
 
Hawajashangilia na ubingwa muda mrefu wache gari lao liwaliwaze
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Hahahaaa! Hivi kwanini unazani simba na yanga wameshindwa nunua basi kama hilo na wameishia kununua mchina na muhindi?
 
Naunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,
Biashara matangazo mkuu, azam anataka kila muda awe midomoni kwetu, kama sio kumtaja basi tunalamba ice cream zake
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Timu yenu kuuuuuuubwa miaka zaidi ya sabini inatembelea Tata la msaada
 
Hii ni dalili ya maisha magumu ya baadhi ya Sisi Watanzania 🤣🤣kiasi kwamba maisha ya mwingine yanakupa hasira na chuki.
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
mbona karibu kila timu ikinunua basi hapa bongo inapiga kelele
waache waturingishie mchuma wao 😆
 
Hapo Kariakoo mmoja wao angekuwa nalo kama hilo lingetembezwa vijiji vyote watu wapige nalo picha kuwaumiza roho wa upande wa pili. [emoji38]
 
Ukiwa hauna akili huwezi kuelewa alicho kifanya azam kutembeza hilo buss chocho...
Kwani Moo hana huo uwezo wa kununua ndege,lakn kanunua tata.
Uliza kwa nini anafanya hivyo maana ile ni Benz
 
Hapo Kariakoo mmoja wao angekuwa nalo kama hilo lingetembezwa vijiji vyote watu wapige nalo picha kuwaumiza roho wa upande wa pili. [emoji38]
Unadhani hizo timu zinashindwa kununua ama kununuliwa hilo basi?

Hizi timu hata ndege zinaweza kununua.
 
Naunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,
Bus limebeba brand ilo acheni wivu. Tajiri wenu aache kununua matata na michina
 
Back
Top Bottom