kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndio wabongo hawakawii kuudha na wakakuletea aina Kama hiyohiyo
Vema iwehivyohivyo
Vema iwehivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mirembe ulitoroka?Nilichogundua ni kwamba una matatizo ya akili.
Tafadhali sana fika pale Muhimbili ukamuone daktari wa magonjwa hayo,Atakusaidia sana
Kichaa mwingine huyu hapaWewe Mirembe ulitoroka?
AiseeeKwani Moo hana huo uwezo wa kununua ndege,lakn kanunua tata.
Uliza kwa nini anafanya hivyo maana ile ni Benz
wangekuwa wamenunua sasa, timu hizi hizi ambazo bila wafadhili zinashindia chapati na kutembeza bakuli khaaaUnadhani hizo timu zinashindwa kununua ama kununuliwa hilo basi?
Hizi timu hata ndege zinaweza kununua.
Rejea:Uninuzi wa ndege Tanzania.Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Jinsi ulivyo na wivu umeshindwa kuweka picha ili tuone ukijua utaumia zaidiAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Sawa AfricariersAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Unalaliwa wewe,sio Kabachori alieuza Chama na Kondeboy akanunua mabadi 3?Hayo mambo yalitakiwa yafanywe na gsm siyo Azam ,maana gsm tunawajua kutafuta kiki
Uzi wa kishenzAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Katumia basi kukusanya mashabikiUkiwa hauna akili huwezi kuelewa alicho kifanya azam kutembeza hilo buss chocho...
Watu hawajakiona hikiKatumia basi kukusanya mashabiki
Sasa ivi akienda kucheza mikoani fans watajazana uwanjani kisa tu walione basi jipya
Strategic plan imekubali
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app