Azam nao washamba na hilo basi lao

Azam nao washamba na hilo basi lao

ndio wabongo hawakawii kuudha na wakakuletea aina Kama hiyohiyo

Vema iwehivyohivyo
 
Ila kuna watu wana akili ndogo hadi sio poa. Mbona hata mtoto wa primary anatambua ile ni bussiness strategy..
 
Unadhani hizo timu zinashindwa kununua ama kununuliwa hilo basi?

Hizi timu hata ndege zinaweza kununua.
wangekuwa wamenunua sasa, timu hizi hizi ambazo bila wafadhili zinashindia chapati na kutembeza bakuli khaaa
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Rejea:Uninuzi wa ndege Tanzania.
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Jinsi ulivyo na wivu umeshindwa kuweka picha ili tuone ukijua utaumia zaidi
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Sawa Africariers
 
Uzi wa kishenz
 
KIKI NA STORI ZA BASI ZITAISHA JMOS, WATAJUA HAWAJUI.
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
 
Ukiwa hauna akili huwezi kuelewa alicho kifanya azam kutembeza hilo buss chocho...
Katumia basi kukusanya mashabiki

Sasa ivi akienda kucheza mikoani fans watajazana uwanjani kisa tu walione basi jipya

Strategic plan imekubali

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom