fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ukweli ni washamba mnoAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Sasa kama Ligi hawachukui pamoja na Utajiri wao kwanini wasijiliwaze kwa Ubingwa wa kuwa na Basi lao?Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Hahahaaa! Hivi kwanini unazani simba na yanga wameshindwa nunua basi kama hilo na wameishia kununua mchina na muhindi?Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Biashara matangazo mkuu, azam anataka kila muda awe midomoni kwetu, kama sio kumtaja basi tunalamba ice cream zakeNaunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,
Halafu wakishawatoa wewe utaingia mbona uko hivyo jifunje kufikiriPyramids wanakuja kuwatoa nishai mchana kweupeeeeee
Timu yenu kuuuuuuubwa miaka zaidi ya sabini inatembelea Tata la msaadaAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
mbona karibu kila timu ikinunua basi hapa bongo inapiga keleleAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Kwani Moo hana huo uwezo wa kununua ndege,lakn kanunua tata.Ukiwa hauna akili huwezi kuelewa alicho kifanya azam kutembeza hilo buss chocho...
Unadhani hizo timu zinashindwa kununua ama kununuliwa hilo basi?Hapo Kariakoo mmoja wao angekuwa nalo kama hilo lingetembezwa vijiji vyote watu wapige nalo picha kuwaumiza roho wa upande wa pili. [emoji38]
Bus limebeba brand ilo acheni wivu. Tajiri wenu aache kununua matata na michinaNaunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,