Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

😂 😂 😂 sina maneno mengi watani zako nina swaumu....
 
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3
Mod Kuna mpiga kelele huku!
 
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3.
Mpaka hapa, unapendelea kuwa "banned" au uwe "burned"?
 
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3.
upigwe ban na nani? Jipige wewe, timu yako imechezea kichapo na kudondosha pointi
 
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3.
Hizi ahadi za kingese kuna siku zitamgharimu mtu.

Kuna mwaka mmoja nilikuwa kanda ya kati. Watu wakawekeana ahadi juu ya matokeo ya simba na yanga.

Moja aliweka rehani ng'ombe na mwingine lilikuwa shamba.

Kwa bahati mbaya aliyewekea ng'ombe (mshabiki wa yanga), timu yake ikafungwa na ng'ombe akaliwa na washabiki wa simba.

Tuwe na kiasi katika kuahidi. Tutakuja kuumia au kufa kwa shinikizo la damu.
 
Back
Top Bottom