Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sina maneno mengi watani zako nina swaumu....
 
Mod Kuna mpiga kelele huku!
 
Mpaka hapa, unapendelea kuwa "banned" au uwe "burned"?
 
upigwe ban na nani? Jipige wewe, timu yako imechezea kichapo na kudondosha pointi
 
Hizi ahadi za kingese kuna siku zitamgharimu mtu.

Kuna mwaka mmoja nilikuwa kanda ya kati. Watu wakawekeana ahadi juu ya matokeo ya simba na yanga.

Moja aliweka rehani ng'ombe na mwingine lilikuwa shamba.

Kwa bahati mbaya aliyewekea ng'ombe (mshabiki wa yanga), timu yake ikafungwa na ng'ombe akaliwa na washabiki wa simba.

Tuwe na kiasi katika kuahidi. Tutakuja kuumia au kufa kwa shinikizo la damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…