Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Tunaona mmetenga muda was kuongea tuu AFCON huku mkiangalia peke yenu kana kwamba Sisi hatupendi kuoneshwa,mbona mnafanya hivyo lakini?
Mwaka Jana mlishindwa kurusha w.cup,EPL,uefa na sasa afcon imeanza wala hamtangazi na hamjaweza kutufanya watizamaji wenu tufurahi haswa,hata mwaka huu hamtuoneshi game zozote za nje?
Mbona mnajitangaza sana tofauti na mnavyodeliver, kwanini hamtuoneshi big tournaments kama hizi jamani mmekalia tu hivi vi-local local tu.
Mnaelekea kutuboa tofauti na mlivyotu inspire huko hawali.