Azam siyo burudani kwa wote?

Azam siyo burudani kwa wote?

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Tunaona mmetenga muda was kuongea tuu AFCON huku mkiangalia peke yenu kana kwamba Sisi hatupendi kuoneshwa,mbona mnafanya hivyo lakini?

Mwaka Jana mlishindwa kurusha w.cup,EPL,uefa na sasa afcon imeanza wala hamtangazi na hamjaweza kutufanya watizamaji wenu tufurahi haswa,hata mwaka huu hamtuoneshi game zozote za nje?

Mbona mnajitangaza sana tofauti na mnavyodeliver, kwanini hamtuoneshi big tournaments kama hizi jamani mmekalia tu hivi vi-local local tu.

Mnaelekea kutuboa tofauti na mlivyotu inspire huko hawali.
 
Mtujibu maswali yetu haya tafaaadhari!
 
Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji. Mie walinikera pale wapoacha kuonesha mechi za ligi ilhali wanaonesha mechi za kombe la Mapinduzi!
 
Mechi ya AFCON ikianza angalia moja ya channels hizi ktk king'amuzi cha Azam Tv:


  • UBC
  • RTVGE
  • CRT
 
Mechi ya AFCON ikianza angalia moja ya channels hizi ktk king'amuzi cha Azam Tv:


  • UBC
  • RTVGE
  • CRT

mkuu slim5 nitawezaje kupata chaneli ya @RTVGE au @CRT kupitia king'amuzi cha Azam Tv.?
 
Last edited by a moderator:
mkuu slim5 nitawezaje kupata chaneli ya @RTVGE au @CRT kupitia king'amuzi cha Azam Tv.?

Mkuu add satelite afu ipe jina, ipe freq 9750-10600, kisha tupia hizi: 12728 H 30000 utapata channels 5 ikiwemo RTS, rtvge, MTA nk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom